Poll ya Jamii Forum na kampeni za CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Poll ya Jamii Forum na kampeni za CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Geza Ulole, Oct 12, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 3,996
  Trophy Points: 280
  Kuna habari za kuaminika kuna watu mamluki wametumwa na Kamati ya Kinana ya CCM (Kampeni) kuwa wajiandikishe Jamii Forums na kazi yao ni kuipigia CCM tu ili kuhakikisha by 31st October Mzushi JK anakuwa anaongoza! Nimewakuta hao Mamluki kwenye c@fe moja (jina nahifadhi) katikati ya Dar! sasa sijui hii ni akili au ndo kuchakachua kwenyewe hata Mtandaoni! Ama kweli hii nchi has gone to dogs!

  Slaa for presidency!
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wapo wengi nenda cafe zote za posta
  wako busy na kupiga kura, wengi wahindi
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Too much complain
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 3,996
  Trophy Points: 280
  lazma utakuwa green guard wewe!
   
 5. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  waacheni wapige kura, watakuwa wamepewa 5000 kila mmoja ili waende cafe, na ni kweli jana na leo tu zaidi ya kura 200 zimeenda kwa kikwete the fisadi, ukweli unabaki kuwa kura zetu hapa hatulazimishwe na mtu wala kupewa jero. ni kura za rohoni na weight yake ni mara kumi ya kura za mamluki
   
 6. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,424
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Kwa nini JK ahangaike hivyo!? Mbona yeye ni President tayari! Tena kila kinachoendelea yeye anaweza kudai ni yeye ameanzisha na wabongo wakamwamini! Kwa ajishushe hivyo. Tena anamwaga hela nyingi pasi na kifano. Jana amekusanya Tshs 900! Ni za nini tena, kama mabango anayo hata mengine ameyaweka stoo au mahali fulani, kama ni kanga nchi nzima ina kanga na vibandiko vyake, hata nyingine wamewapa wazungu wavae, hazina watu wa kuvaa. Kama ni magari wanayo na mapikipiki na baiskeli na Helikopta tatu. Sasa hizi M 900 ni za nini? Kuhonga siyo, ole wao wasioijua sheria!


  Ila huyo Mzee sijui nani Jaji Makame, kwa nini hamkemee huyu Bw Mdogo wake. Kwa umri wake sioni kwa nini anaona shida, cheo na mamlaka ya kumhoji anayo, umri anao sasa anaogopa nini! Yahya hawezi kumdhuru kwa sasa yuko hospitali. Wahi Mzee mwonye maana atasababisha kero na kero hujibiwa na kero. Tusicheze na amani tuliyo nayO. Tukemee walau
   
Loading...