Poll: Wapinzani washiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadae mwaka huu?

Wapinzani washiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadae mwaka huu?

 • Ndiyo

  Votes: 33 52.4%
 • Hapana

  Votes: 29 46.0%
 • Sijui

  Votes: 1 1.6%

 • Total voters
  63
 • Poll closed .

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
31,921
Points
2,000

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
31,921 2,000
Naunga mkono hoja ila tuingie tukiwa na kujiamini na watu wa maamuzi kama hayo mtendaji akizingua anapata stahili yake
Ndio na sio dhambi kutoa fundisho hasa kwa makosa haya yanayojirudia.
Hivi kuna kusa kubwa kuliko kuiba kura za wananchi? Mbona hilo ni zaidi ya uhaini huku uhaini ukiogopwa?
Mnaruhusu mtu kuingia madarakani kwa wizi, lakini watu wakipanga kumuondoa (hiyo ni kwa Urais) wanakuwa wametenda kosa LA uhaini adhabu kifo! Kwa nini na kuiba kura kuingia madarakani adhabu isiwe nayo kifo?
Wakurugenzi wameondolewa kusimamia, sasa wananchi wapepewa watendaji wengine, tutoe adhabu kukohuko mtaani. Najua wawili watatu wakizimika wengine watajiuliza!
 

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
3,803
Points
2,000

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
3,803 2,000
Vyama vya upinzani wanaweza kushiriki kwenye hizo chaguzi, lakini sishauri wapiga kura wa upinzani kwenda kupiga kura
Naona sasa mambo yamekuwa mazito sana!

Tunachokifanya kwakuwa wanapatikana viongozi ambao hawana ridhaa ya umma, bali wameingia kwa mabavu na wako kisheria, hawapati tu ushirikiano kutoka kwa wananchi waliowengi.
Haya ya "kutopata ushirikiano" sijayaona huku, labda kwa vile TBC imenyakuliwa na mtu mmoja.

Tabia za kuzira hazina msaada wowote katika mambo kama haya. Unayopendekeza, ni 'disaster', yataviua kabisa vyama vya upinzani wakifuata ushauri unaotoa..

Haya ni mapapmbano, huwezi kukimbia mambambano kwa kuzira.
 

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
3,803
Points
2,000

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
3,803 2,000
Chakaza, wamejaribu wakaona inawezekana. Sasa wamefanya iwe ndio kawaida.

Jamaa kaingia kwa vitisho vingi kutia watu woga. Sasa anatumia njia zisizo halali kutimiza matakwa yake akijua hakuna atakayepinga anayofanya.. Huu ndio mtindo wa uongozi anaouweka, na kafanikiwa kwa kiasi kikubwa.
 

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
24,151
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
24,151 2,000
Naona sasa mambo yamekuwa mazito sana!


Haya ya "kutopata ushirikiano" sijayaona huku, labda kwa vile TBC imenyakuliwa na mtu mmoja.

Tabia za kuzira hazina msaada wowote katika mambo kama haya. Unayopendekeza, ni 'disaster', yataviua kabisa vyama vya upinzani wakifuata ushauri unaotoa..

Haya ni mapapmbano, huwezi kukimbia mambambano kwa kuzira.
Sijawahi kushindwa mapambano, na sina tabia ya kuyaogopa, ila sio mapambano ambayo tuna ushahidi wa wazi wa hujuma, kisha wapinzani hawaendi mahakamani wala hawawezi kuitisha nguvu ya umma. Mapambano ambayo dakika za mwisho viongozi wanatoka ccm wanakuja kupewa kipaombele, hayo sio mapambano bali ni ujuha. Narudia tena, wale wote walio karibu na mimi nimewashauri kutokupiga kura na kutokushirikiana na viongozi walioko madarakani kwa kubaka box la kura. Kama wewe bado unashiriki kwenye mapambano hayo nakutakia kila la heri, nina njia nyingi za kufanya siasa mojawapo ni hapa jukwaani,sio kwa kwenda kupoteza muda wangu kwenye mstari wa kura kisha anayetangazwa sio aliyeshinda. Kibaya zaidi haya yanafanyika huku wapiga kura wengi wa upinzani wakiwa wamefanyiwa ukatili wa wazi.
 

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
24,151
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
24,151 2,000
Chakaza, wamejaribu wakaona inawezekana. Sasa wamefanya iwe ndio kawaida.

Jamaa kaingia kwa vitisho vingi kutia watu woga. Sasa anatumia njia zisizo halali kutimiza matakwa yake akijua hakuna atakayepinga anayofanya.. Huu ndio mtindo wa uongozi anaouweka, na kafanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Kaka sioni kama we una suluhisho bali uko kinadharia zaidi, nimeshakuambia kupanga mstari kwenye box la kura ni dhahiri hakutoi mshindi halali na ushahidi upo. Lakini ww bado unasisitiza watu waendelee kupanga mstari kwenye box la kura ambalo halileti matokeo stahiki. Kufanya jambo lile lile kisha hupati matokeo na kuendelea kutumia mbinu hiyo hiyo ukitarajia matokeo tofauti ni wendawazimu. Njia sahihi ni kwenda mahakamani, au kuitisha nguvu ya umma ambayo ni dhahiri shahiri italeta mauaji na kwa vyovyote tutaheshimiana kwa watakaobaki.
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
65,248
Points
2,000

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
65,248 2,000
Uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajiwa kufanyika baadae mwezi November mwaka huu na ambao unatarajiwa kujishirikisha vyama vingi vya siasa.

Kutokana na uwepo wa mawazo kinzani kuhusu ama wapinzani washiriki au wasishiriki uchaguzi huo,sisi member wa JF tutumie fursa hii kutoa maoni yetu na hata kupiga kura ya maoni hapo juu(ukipenda) kwani mawazo yako yanaweza kuwasaidi wanasiasa wetu kufanya maamuzi sahihi juu ya ushiriki wao katika uchahguzi huu wa serikali za mitaa.

View attachment 1204527


Swali ni je,kutokana na mazingira yaliyopo,wapinzani washiriki uchaguzi huo?
Wewe kijana Mungu akubariki sana ! macho yako yanaona mbali mno !
 

Forum statistics

Threads 1,354,535
Members 518,526
Posts 33,093,016
Top