Poll: Wapinzani washiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadae mwaka huu?

Wapinzani washiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadae mwaka huu?

 • Ndiyo

  Votes: 33 52.4%
 • Hapana

  Votes: 29 46.0%
 • Sijui

  Votes: 1 1.6%

 • Total voters
  63
 • This poll will close: .
MAPITO Mwanza

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Messages
883
Points
1,000
MAPITO Mwanza

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2018
883 1,000
Acha tushiliki wakifanya kinyume na utaratibu DUNIA inaona
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
22,576
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
22,576 2,000
Kwani wasiposhiriki who wins and who loses. Maamuzi mengine yafanyike baada ya kutafakari kwa kina siyo ushabiki
Wapinzani wasiposhiriki wanabaki bila vilema, acha ccm wajitangaze washindi. Kwa sasa watajiongopea wako vizuri, wakibaki wenyewe kwakuwa ni washenzi ushindani utabaki ndani ya ccm, vigezo itakuwa ni vya ukanda, ukabila au hata Udini. Ushindani wa kisiasa kwa vyama vya upinzani unachangia ukabila, Udini na ukanda kutokuwepo. Ila hii ya kiongozi kuanza kujenga uwanja wa ndege kwao na kuchagua watu wengi wa dini na kanda yake, kwa vyovyote huko mbeleni kigezo itakuwa tumchague wa kabila au dini yetu ili na sisi tufaidike. Mchelea mwana kulia hulia yeye, leo tushabikie siasa chafu kupandikizwa nchini, lakini tukianza mavuno tusilie.
 
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Messages
3,688
Points
2,000
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2019
3,688 2,000
Kwa muda sasa,kila ukiweka Poll hapa JF inafutwa hata kama Poll hiyo itahusu jambo la kawaida kabisa na sababu sijui nini maana wahusika huwa hawasemi zaidi tu ya kufuta uzi husika.

Inawezekana sheria ya takwimu labda ndio sababu, ila kwakuwa kuanzisha Poll hapa JF imekuwa ni kama kukiuka sheria na taratibu,basi ni bora hiyo option ya kuruhusu members kuanzisha Poll hapa JF ikafutwa kwani haina maana kwa sasa.

Mtu unatumia muda wako kuanzisha mada, alafu ghafla inafutwa! Sasa sijui maana yake nini?
Kweli kabisa mkuu hata mimi wanafuta sana mada zangu, mara waziunganishe na mada hata zisizo fanana, kweli tunajua wanabanwa na utawala huu na sisi tunajitahidi tusiwaingize matatizoni, lakini watende haki, mimi huwa nahisi labda wana watu wao wanaotaka wawe wanaanzisha uzi wao tu sisi tuwe wachangiaji tu.
 
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
3,390
Points
2,000
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
3,390 2,000
Kwa muda sasa,kila ukiweka Poll hapa JF inafutwa hata kama Poll hiyo itahusu jambo la kawaida kabisa na sababu sijui nini maana wahusika huwa hawasemi zaidi tu ya kufuta uzi husika.

Inawezekana sheria ya takwimu labda ndio sababu, ila kwakuwa kuanzisha Poll hapa JF imekuwa ni kama kukiuka sheria na taratibu,basi ni bora hiyo option ya kuruhusu members kuanzisha Poll hapa JF ikafutwa kwani haina maana kwa sasa.

Mtu unatumia muda wako kuanzisha mada, alafu ghafla inafutwa! Sasa sijui maana yake nini?
Hoja yako hii inastahili kupata jibu toka JF. Wengi tungependa kujua. Kukaa kimya tu bila kutoa jibu kutatia wasiwasi.
 
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
3,390
Points
2,000
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
3,390 2,000
Wapinzani wasiposhiriki wanabaki bila vilema, acha ccm wajitangaze washindi. Kwa sasa watajiongopea wako vizuri, wakibaki wenyewe kwakuwa ni washenzi ushindani utabaki ndani ya ccm, vigezo itakuwa ni vya ukanda, ukabila au hata Udini. Ushindani wa kisiasa kwa vyama vya upinzani unachangia ukabila, Udini na ukanda kutokuwepo. Ila hii ya kiongozi kuanza kujenga uwanja wa ndege kwao na kuchagua watu wengi wa dini na kanda yake, kwa vyovyote huko mbeleni kigezo itakuwa tumchague wa kabila au dini yetu ili na sisi tufaidike. Mchelea mwana kulia hulia yeye, leo tushabikie siasa chafu kupandikizwa nchini, lakini tukianza mavuno tusilie.
Unajua 'tindo', mimi sishabikii kususia uchaguzi huo kwa wapinzani, na hasa baada ya kusoma uliyoandika hapa.
Ningependa sana wapinzani washiriki, tena kwa nguvu zote kabisa, bila kujali hali ngumu wanayopewa.

Hili litatuondolea 'sintofahamu' inayoambatana na hayo uliyoyasema.

Ningependa nione waziwazi usingizi walionao waTanzania ambao hawana kumbukumbu ya mambo yanayofanywa.

Nitapenda sana kujua kwamba waTanzania ni wasahaulifu sana, hawawezi kukumbuka lolote walilotendwa.

Ningependa kupata ushahidi usiokuwa na shaka kabisa, kwamba waTanzania ni watu wepesi sana kurubuniwa, wepesi sana kutishwa, wepesi sana kukubali ahadi za kijinga hata kama hazitekelezeki.

Nitapenda sana kupata ushahidi usiopingika, kwamba CCM itatawala milele.

Nitapenda kujua kwamba kuwa na upinzani Tanzania ni kupoteza wakati, acha CCM itawale inavyopenda

Kushiriki kwa wapinzani ndio itakuwa 'dizeli' nzuri kwa makundi yaliyomo humo CCM, na huenda makundi hayo hayo ndio yakaleta neema kwa wapinzani.

Wapinzani kususia uchaguzi huu ina maana hata Uchaguzi Mkuu hapo mwakani watasusa? Kwa maana sioni kwa nini wasusie huu, halafu waingie huo mwingine.
 
mnengene

mnengene

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Messages
1,535
Points
2,000
mnengene

mnengene

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2011
1,535 2,000
Hakutakuwa na uchaguzi Bali Ni kiini macho, waache jamaa wote wapitishwe bila kupingwa ili tusipotezeane muda na raslimali
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
22,576
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
22,576 2,000
Unajua 'tindo', mimi sishabikii kususia uchaguzi huo kwa wapinzani, na hasa baada ya kusoma uliyoandika hapa.
Ningependa sana wapinzani washiriki, tena kwa nguvu zote kabisa, bila kujali hali ngumu wanayopewa.

Hili litatuondolea 'sintofahamu' inayoambatana na hayo uliyoyasema.

Ningependa nione waziwazi usingizi walionao waTanzania ambao hawana kumbukumbu ya mambo yanayofanywa.

Nitapenda sana kujua kwamba waTanzania ni wasahaulifu sana, hawawezi kukumbuka lolote walilotendwa.

Ningependa kupata ushahidi usiokuwa na shaka kabisa, kwamba waTanzania ni watu wepesi sana kurubuniwa, wepesi sana kutishwa, wepesi sana kukubali ahadi za kijinga hata kama hazitekelezeki.

Nitapenda sana kupata ushahidi usiopingika, kwamba CCM itatawala milele.

Nitapenda kujua kwamba kuwa na upinzani Tanzania ni kupoteza wakati, acha CCM itawale inavyopenda

Kushiriki kwa wapinzani ndio itakuwa 'dizeli' nzuri kwa makundi yaliyomo humo CCM, na huenda makundi hayo hayo ndio yakaleta neema kwa wapinzani.

Wapinzani kususia uchaguzi huu ina maana hata Uchaguzi Mkuu hapo mwakani watasusa? Kwa maana sioni kwa nini wasusie huu, halafu waingie huo mwingine.
Kalamu1 huenda unadhani nimefikia hitimisho hilo la kutokupiga kura kwa bahati mbaya. Vyama vya upinzani wanaweza kushiriki kwenye hizo chaguzi, lakini sishauri wapiga kura wa upinzani kwenda kupiga kura. Ulivyoongea inaonekana ww huwa hushiriki kupiga kura ndio maana madhila ya watu kupata vilema, kufanyiwa uhayawani tena kwa uratibu wa jeshi la polisi ww hayo hufahamu.

Kibaya zaidi hao wapinzani wanafanyiwa hujuma za wazi na hawaendi mahakamani. Halafu isitoshe hizo mahakama ndio hizo zinaogopa kutoa haki, eti zitasababisha mgogoro wa kikatiba! Katika mazingira hayo mtu unayejitambua unaenda kupiga kura ili iwe nini kwa mfano? Mimi sikuzuii ww kwenda kupiga, ila wale wote niliokaribu nao nimewaambia somo na wote wamenielewa.

Tunachokifanya kwakuwa wanapatikana viongozi ambao hawana ridhaa ya umma, bali wameingia kwa mabavu na wako kisheria, hawapati tu ushirikiano kutoka kwa wananchi waliowengi. Mtendaji akiitisha kikao watu hawaendi na wakienda wanakuwa wachache. Hii ni mbinu ya kistaarabu ambayo haimuachi mtu yoyote na kilema. Ni kama vile unaandaa karamu au unapata msiba lakini majirani hawajitokezi, ule au uzike na hao wanaoshiriki uovu wako.
 
T

togetherTight

Member
Joined
May 21, 2017
Messages
51
Points
125
T

togetherTight

Member
Joined May 21, 2017
51 125
Wapinzani wasishiriki uchaguzi wa serikali za mitaa!!!

Nasema wasishiriki kwa sababu ni wapinzani.

Ee..!! Sasa kama wewe unanipinga katika harakati zangu za kuwakarimu wageni wanaokuja kwangu, halafu unakuja kuniuliza ".. nipike au sisipikie hawa wageni?" ntakuwa na kichaa gani kukuchagua upikie wageni ambao hautaki wawepo???
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
31,018
Points
2,000
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
31,018 2,000
Haina haja ya kushiriki maana tayari matokeo yashapangwa
@Mmawia Mimi Nina mawazo tofauti . CCM ni kama mafisi, ukiyaachia bucha utakoma mwenyewe. Uchaguzi Zanzibar wapinzani wa kweli waliususia imesaidia nini? Maana tukisusa, CCM inavyo vyama vyake imevisajili kama vya upinzani na vitashiriki.
Cha kufanya, nadhani unakumbuka 2014 uchaguzi kama huu nini kilitokea pale Landmark hotel ambako baadhi ya watendaji waliotaka kuchakachua matokeo walikula kipigo hadharani. Hata wale wagombea ambao walijua tumeshindwa lakini wakataka kutumia watendaji kutangazwa walipigika mpaka wengine waliingia kwenye mitaro.
Sio huko tuu, hata wilaya nyingi kama Mwanga, Manyara nk mwendo ulikuwa huo wa kumdhibiti mtendaji atangaze matokeo yaliyo mbele yake.
Njia hiyo ndio sahihi na mwezi huu wa kampeni ni bora kuwapa tahadhari hao Watendaji wa Kata kuwa kipigo kipo kama mnashiriki kuvuruga utashi wa wananchi.
Na lazima wajue kuwa Polisi baada ya uchaguzi kuwa wataondoka we we mtendaji na familia yako mtabaki na umejijengea sifa kuwa kama KIBAKA au MCHAWI na utakuwa treated kama wahalifu hao.
Lazima sasa ifike mahali watumishi waogope nguvu ya umma kuitendea maovu.
Hata kama zoezi hilo halitafanikiwa 100% lakini litajesha woga na heshima
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
31,018
Points
2,000
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
31,018 2,000
Huo uchaguzi umekosa uhalali, mtu anatangaza hadharani, nimekupa madaraka, gari, nakulipa halafu nione upinzani wameshinda, sasa hiyo ni demokrasi?
Mkuu tuwalazimishe wachague madaraka au ulinzi wake na familia yake kipi bora!
Imefika mahali umafia uanze kutumika kurudisha nidhamu. Kama dume zima linakubali kukiuka utaratibu bila kujali kama mke au mwanae anaweza kupata dhoruba ya hasira ya "wanaoonewa" bila kujali basi sawa.!
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
31,018
Points
2,000
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
31,018 2,000
Je, mmeshamwabia mbowe kwamba hamtashiriki?
Ebwana eeh, fisi haachiwi bucha tena. Tutashiriki.
Ila sasa tutawaambia watu wetu kuwa kisasi cha kuharibu uchaguzi kwa kutoheshimu sheria sio cha Mungu bali ni cha wapigakura.
Andaeni polisi wa kuwalinda watendaji waovu na familia zao baada ya uchaguzi nchi nzima.
 
K

kina kirefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2018
Messages
485
Points
500
K

kina kirefu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2018
485 500
Kimsingi kwamara yakwanza uchaguzi ususiwe .kupitia kasoro zachaguzi dongo zilizopita .japokua kutofukuza nguruwe naunawaona wakitafna mihogo shambani nibalaa zaidi
 
S

sweettablet

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Messages
2,264
Points
2,000
S

sweettablet

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2014
2,264 2,000
Mi nawashauri wasishiriki. Na ule wa mwakani wa Udiwani, Ubunge na Urais nao wasishiriki. Na ikiwezekana na vyama vyao wavifute kabisa visiwepo! Mbowe mfano, arudi kwenye U-DJ. Lissu akawe full time law practitioner. Zitto akafanye kazi anayoipenda ya Uhadhiri. Hapo watakuwa wameikomoa CCM kisawasawa!
 
S

sweettablet

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Messages
2,264
Points
2,000
S

sweettablet

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2014
2,264 2,000
Ebwana eeh, fisi haachiwi bucha tena. Tutashiriki.
Ila sasa tutawaambia watu wetu kuwa kisasi cha kuharibu uchaguzi kwa kutoheshimu sheria sio cha Mungu bali ni cha wapigakura.
Andaeni polisi wa kuwalinda watendaji waovu na familia zao baada ya uchaguzi nchi nzima.
Hizi kauli zimezoeleka sana mitandaoni. Mgeni ndio atashtuka. Ila siku ya kupiga nakuahidi hali itakuwa shwaaaaari na uchaguzi utafanyika kwa UHURU na HAKI!
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
77,579
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
77,579 2,000
@Mmawia Mimi Nina mawazo tofauti . CCM ni kama mafisi, ukiyaachia bucha utakoma mwenyewe. Uchaguzi Zanzibar wapinzani wa kweli waliususia imesaidia nini? Maana tukisusa, CCM inavyo vyama vyake imevisajili kama vya upinzani na vitashiriki.
Cha kufanya, nadhani unakumbuka 2014 uchaguzi kama huu nini kilitokea pale Landmark hotel ambako baadhi ya watendaji waliotaka kuchakachua matokeo walikula kipigo hadharani. Hata wale wagombea ambao walijua tumeshindwa lakini wakataka kutumia watendaji kutangazwa walipigika mpaka wengine waliingia kwenye mitaro.
Sio huko tuu, hata wilaya nyingi kama Mwanga, Manyara nk mwendo ulikuwa huo wa kumdhibiti mtendaji atangaze matokeo yaliyo mbele yake.
Njia hiyo ndio sahihi na mwezi huu wa kampeni ni bora kuwapa tahadhari hao Watendaji wa Kata kuwa kipigo kipo kama mnashiriki kuvuruga utashi wa wananchi.
Na lazima wajue kuwa Polisi baada ya uchaguzi kuwa wataondoka we we mtendaji na familia yako mtabaki na umejijengea sifa kuwa kama KIBAKA au MCHAWI na utakuwa treated kama wahalifu hao.
Lazima sasa ifike mahali watumishi waogope nguvu ya umma kuitendea maovu.
Hata kama zoezi hilo halitafanikiwa 100% lakini litajesha woga na heshima
Naunga mkono hoja ila tuingie tukiwa na kujiamini na watu wa maamuzi kama hayo mtendaji akizingua anapata stahili yake
 
Forum statistics

Threads 1,336,688
Members 512,697
Posts 32,547,673
Top