Poll: Wapinzani washiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadae mwaka huu?

Wapinzani washiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadae mwaka huu?

 • Ndiyo

  Votes: 33 52.4%
 • Hapana

  Votes: 29 46.0%
 • Sijui

  Votes: 1 1.6%

 • Total voters
  63
 • This poll will close: .
K

kigogo warioba

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,767
Points
2,000
K

kigogo warioba

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,767 2,000
Je, mmeshamwabia mbowe kwamba hamtashiriki?
Kwani mbowe ndio nani? Au kwani anaishi nje ya nchi!? Kwamba hajui kinachoendelea! Atajipigia mwenyewe kama hatawasikiliza watu ambao ni wapiga kura wake!
 
ostrichegg

ostrichegg

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Messages
7,244
Points
2,000
ostrichegg

ostrichegg

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2013
7,244 2,000
Kwao makijani hizo ndio zinasifiwa kama "mbinu" za kushinda uchaguzi.
Huo uchaguzi umekosa uhalali, mtu anatangaza hadharani, nimekupa madaraka, gari, nakulipa halafu nione upinzani wameshinda, sasa hiyo ni demokrasi?
 
Marknova

Marknova

Member
Joined
Oct 2, 2016
Messages
13
Points
45
Marknova

Marknova

Member
Joined Oct 2, 2016
13 45
Ndugu zanguni..bila kujali kauli kadhaa zilizo tolewa na baadhi ya viongozi kuhusu uhalalo wa kushinda ktika chaguz tofauti lkn mm binafs ningeshaur twendeni kupiga kura mda ukifika maana unaweza mnyamazisha mtu kwa kelele zako lkn moyon hajanyamaza...
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
22,576
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
22,576 2,000
Wapinzani wanaanza kutafuta mazingira ya kuweka mpira kwapani (kukimbia /kukwepa uchaguzi) baada ya kunusa kutokubalika kwao kwa wananchi.

Wapinzani hawajachelewa, ni muda umebaki kushiriki kwenye maendeleo ya majimbo yao
Ni wendawazimu kwenda kuangalia mechi iliyopangwa matokeo kisha goli likiingia unashangilia. Mtu mshenzi tu ndio anaweza kusema wananchi hawawezi kuwapigia kura wapinzani, wakati huohuo wapinzani hawaruhusiwi kukutana na wananchi kwa uhuru. Si kila mtu ni muumini wa siasa za kishenzi. Post kama hii inaweza kuletwa na muumini tu wa siasa za kipuuzi.
 
tusipotoshane

tusipotoshane

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Messages
399
Points
500
tusipotoshane

tusipotoshane

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2018
399 500
Haina haja ya kushiriki maana tayari matokeo yashapangwa
1.Nani kapanga matokeo?

2.Lini?

3.Wapi?

4.Sehemu gani?

5.Akishirikiana na akina nani?

6.Kwa lengo lipi?

7.Kwa faidi gani na kwa nani?

8.Unachosema una uhakika wa vithibitisho au unadhani?

9.Umefanya utafiti?

10.Au una hisi tu?

11.Kwa maelekezo ya nani?

12.Kwa malipo au bure?

13.Au ndoto za mchana na jioni zimetamalaki?

Hebu toa mwongozo/majibu ya maswali niiyouliza ili conclusion ifanyike.

Povu ruksa

Ila tusipotoshane na sikupotoshi.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
33,198
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
33,198 2,000
Kwa nini wasishiriki? Washiriki tuu...


Cc: mahondaw
 
Kyatile

Kyatile

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2017
Messages
1,025
Points
2,000
Kyatile

Kyatile

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2017
1,025 2,000
Kwani wasiposhiriki who wins and who loses. Maamuzi mengine yafanyike baada ya kutafakari kwa kina siyo ushabiki
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
77,580
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
77,580 2,000
Hapo sioni cha kujibu maana naona upupu mtupu
1.Nani kapanga matokeo?

2.Lini?

3.Wapi?

4.Sehemu gani?

5.Akishirikiana na akina nani?

6.Kwa lengo lipi?

7.Kwa faidi gani na kwa nani?

8.Unachosema una uhakika wa vithibitisho au unadhani?

9.Umefanya utafiti?

10.Au una hisi tu?

11.Kwa maelekezo ya nani?

12.Kwa malipo au bure?

13.Au ndoto za mchana na jioni zimetamalaki?

Hebu toa mwongozo/majibu ya maswali niiyouliza ili conclusion ifanyike.

Povu ruksa

Ila tusipotoshane na sikupotoshi.
 
K

Kali _D

Member
Joined
Feb 10, 2019
Messages
92
Points
125
K

Kali _D

Member
Joined Feb 10, 2019
92 125
Uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajiwa kufanyika baadae mwezi November mwaka huu na ambao unatarajiwa kujishirikisha vyama vingi vya siasa.

Kutokana na uwepo wa mawazo kinzani kuhusu ama wapinzani washiriki au wasishiriki uchaguzi huo,sisi member wa JF tutumie fursa hii kutoa maoni yetu na hata kupiga kura ya maoni hapo juu(ukipenda) kwani mawazo yako yanaweza kuwasaidi wanasiasa wetu kufanya maamuzi sahihi juu ya ushiriki wao katika uchahguzi huu wa serikali za mitaa.

View attachment 1204527


Swali ni je,kutokana na mazingira yaliyopo,wapinzani washiriki uchaguzi huo?
mazingira gani we mamba? tumia ujinga wako vizuri.
 
L

luchili

Member
Joined
Nov 30, 2018
Messages
97
Points
125
L

luchili

Member
Joined Nov 30, 2018
97 125
Uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajiwa kufanyika baadae mwezi November mwaka huu na ambao unatarajiwa kujishirikisha vyama vingi vya siasa.

Kutokana na uwepo wa mawazo kinzani kuhusu ama wapinzani washiriki au wasishiriki uchaguzi huo,sisi member wa JF tutumie fursa hii kutoa maoni yetu na hata kupiga kura ya maoni hapo juu(ukipenda) kwani mawazo yako yanaweza kuwasaidi wanasiasa wetu kufanya maamuzi sahihi juu ya ushiriki wao katika uchahguzi huu wa serikali za mitaa.

View attachment 1204527


Swali ni je,kutokana na mazingira yaliyopo,wapinzani washiriki uchaguzi huo?
Jamani hapa ni kama kuleta habari za kuwapotezea lengo wananchi kutoshiriki kny uchaguzi. Embu tuwapotezee hawa watu wanaoleta mada kama hizi chonganishi.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
64,003
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
64,003 2,000
Jaffo anaweza kuwa ndio waziri mbovu kuliko wote waliowahi kuwepo Tamisemi
 
Oculus

Oculus

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2014
Messages
401
Points
250
Oculus

Oculus

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2014
401 250
Ivi awamu hii kuna uchaguzi au uchavuzi,,kama hawajajifunza katika chaguzi ndogo za kinondoni na kwengineko washiriki tu, uchaguzi ambao kwenye vituo vya kupiga kura walinda usalama ni wengi kuliko wapiga kura, lol nani aende
Off topic, hiyo avatar dada ni
 

Forum statistics

Threads 1,336,673
Members 512,696
Posts 32,547,374
Top