Poll: Wapinzani washiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadae mwaka huu?

Wapinzani washiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika baadae mwaka huu?

 • Ndiyo

  Votes: 33 52.4%
 • Hapana

  Votes: 29 46.0%
 • Sijui

  Votes: 1 1.6%

 • Total voters
  63
 • Poll closed .

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
35,996
Points
2,000

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
35,996 2,000
Uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajiwa kufanyika baadae mwezi November mwaka huu na ambao unatarajiwa kujishirikisha vyama vingi vya siasa.

Kutokana na uwepo wa mawazo kinzani kuhusu ama wapinzani washiriki au wasishiriki uchaguzi huo,sisi member wa JF tutumie fursa hii kutoa maoni yetu na hata kupiga kura ya maoni hapo juu(ukipenda) kwani mawazo yako yanaweza kuwasaidi wanasiasa wetu kufanya maamuzi sahihi juu ya ushiriki wao katika uchahguzi huu wa serikali za mitaa.

1568205765553.pngSwali ni je,kutokana na mazingira yaliyopo,wapinzani washiriki uchaguzi huo?
 

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
35,996
Points
2,000

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
35,996 2,000
Kwa muda sasa,kila ukiweka Poll hapa JF inafutwa hata kama Poll hiyo itahusu jambo la kawaida kabisa na sababu sijui nini maana wahusika huwa hawasemi zaidi tu ya kufuta uzi husika.

Inawezekana sheria ya takwimu labda ndio sababu, ila kwakuwa kuanzisha Poll hapa JF imekuwa ni kama kukiuka sheria na taratibu,basi ni bora hiyo option ya kuruhusu members kuanzisha Poll hapa JF ikafutwa kwani haina maana kwa sasa.

Mtu unatumia muda wako kuanzisha mada, alafu ghafla inafutwa! Sasa sijui maana yake nini?
 

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
78,649
Points
2,000

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
78,649 2,000
Haina haja ya kushiriki maana tayari matokeo yashapangwa
Uchaguzi wa serikali za mitaa unatarajiwa kufanyika baadae mwezi November mwaka huu na ambao unatarajiwa kujishirikisha vyama vingi vya siasa.

Kutokana na uwepo wa mawazo na mitazamo tofauti kuhusu chaguzi katika nchi yetu ambapo baadhi wanasema wapinzani washiriki chaguzi hizi huku wengne wakisema wasishiriki.Je,wewe member wa JF unasimama upande gani?

Tunaomba utoe maoni yako na pia upige kura hapo juu kwani kura na maoni yako vinaweza kusaidia wanasiasa wetu kufanya maamuzi sahihi juu ya ushiriki wao katika uchaguzi huo.

View attachment 1204527
 

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
78,649
Points
2,000

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
78,649 2,000
Hakika ni vyema wakawaachia wanao tumia nguvu badala ya sanduku la kura wakatangazwa wamepita bila ya kupingwa
Ivi awamu hii kuna uchaguzi au uchavuzi,,kama hawajajifunza katika chaguzi ndogo za kinondoni na kwengineko washiriki tu, uchaguzi ambao kwenye vituo vya kupiga kura walinda usalama ni wengi kuliko wapiga kura, lol nani aende
 

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2008
Messages
5,303
Points
2,000

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2008
5,303 2,000
Wapinzani wanaanza kutafuta mazingira ya kuweka mpira kwapani (kukimbia /kukwepa uchaguzi) baada ya kunusa kutokubalika kwao kwa wananchi.

Wapinzani hawajachelewa, ni muda umebaki kushiriki kwenye maendeleo ya majimbo yao
 

Forum statistics

Threads 1,344,022
Members 515,307
Posts 32,805,512
Top