Elections 2010 Poll of polls; mjumuisho wa tafiti

nachoona mimi mambo matatu. moja hapa JF upenzi kwa slaa uko wazi. pili, kila alipopata bahati ya kukanyaga dr. slaa watu wamezinduka. tatu, baadhi ya majimbo machache ambapo wagombea wa chadema ni wachakarikaji kuna matumaini.

maswali ya kujiuliza;

ni watanzania wangapi wanaopita kwenye blog hii? ukiangalia ile ripoti (ya kupikwa) ya redet inaonesha slaa anakubalika kinondoni kwa asilimia 64 ikifuatiwa na kigoma vijijini kwa asilimia 56. basi, kwingine kote hakuna kitu. tafsiri yangu ni kwamba kinondoni ndiko wanakoishi watanzania wengi wenye access na umeme na internet (kazini kwao au binafsi). pia kigoma vijijini ndiko kuliko jimbo la kigoma kaskazini ambako zitto ni anakubalika. majimbo mengine yote ambako chadema wanakubalika hayakupitiwa na utafiti wa redet. majimbo kama vile moshi mjini, karatu, n.k.

pia najiuliza ni kwa namna gani wana JF wanajipanga kupanua ushabiki huu wa kwenye blogu kuupeleka vijinini, hasa kule ambako dr. slaa hataweza kufika? hii ni changamoto ambayo kama haitafanyika, tusithubutu kuamini kwamba kwa kuwa hapa janvini tuko passionate basi watanzania wote wako passionate. tutafanya wanachosema waingereza over-generalization ambayo inaweza kula kwetu vibaya sana
 
Mimi siishi kinondoni wala kigoma ila ninakoishi hamna cha internet access ila watu wana imani na Dr. Slaa hadi watoto waliozaliwa leo.
 
Nenda kafanye utafiti kule unakofikiria Dr. Slaa hatafika uone mwamko ulivyo. Pengine utaona hakuna haja ya kuendelea na thread hii
 
Mimi pia selewi hata hayo maeneo unayoyazungumzia yapo wapi naishi kijijiiiini hamna umeme wala internet labada uenda mjini ila kila mtu hapa amejipiga muhuri uloandikwa dr slaa yani huwaambii kitu kwa dr slaa kudadadeki
 
tupunguze ushabiki wa pupa na hasira. tujaribu kujipanga zaidi badala ya kuamini kwamba kazi imekwisha kila mtu atampigia dr. slaa kura. hahisi ni imani hatari kiasi
 
nachoona mimi mambo matatu. moja hapa JF upenzi kwa slaa uko wazi. pili, kila alipopata bahati ya kukanyaga dr. slaa watu wamezinduka. tatu, baadhi ya majimbo machache ambapo wagombea wa chadema ni wachakarikaji kuna matumaini.

maswali ya kujiuliza;

ni watanzania wangapi wanaopita kwenye blog hii? ukiangalia ile ripoti (ya kupikwa) ya redet inaonesha slaa anakubalika kinondoni kwa asilimia 64 ikifuatiwa na kigoma vijijini kwa asilimia 56. basi, kwingine kote hakuna kitu. tafsiri yangu ni kwamba kinondoni ndiko wanakoishi watanzania wengi wenye access na umeme na internet (kazini kwao au binafsi). pia kigoma vijijini ndiko kuliko jimbo la kigoma kaskazini ambako zitto ni anakubalika. majimbo mengine yote ambako chadema wanakubalika hayakupitiwa na utafiti wa redet. majimbo kama vile moshi mjini, karatu, n.k.

pia najiuliza ni kwa namna gani wana JF wanajipanga kupanua ushabiki huu wa kwenye blogu kuupeleka vijinini, hasa kule ambako dr. slaa hataweza kufika? hii ni changamoto ambayo kama haitafanyika, tusithubutu kuamini kwamba kwa kuwa hapa janvini tuko passionate basi watanzania wote wako passionate. tutafanya wanachosema waingereza over-generalization ambayo inaweza kula kwetu vibaya sana

hahaaaa ila unataka tuamini kura za redet na synovate..mwaka wenu huu jumba bovu linawaangukia
 
ZENJ BARY: Haya ndio maisha yetu? je unasemaje utanipa kura yako?
 
tupunguze ushabiki wa pupa na hasira. tujaribu kujipanga zaidi badala ya kuamini kwamba kazi imekwisha kila mtu atampigia dr. slaa kura. hahisi ni imani hatari kiasi
Sasa Mkuu wewe unataka iweje? Si vibaya watu wanapoonyesha hisia zao pale wanapopata nafasi, na kama hizo hisia zao zitaleta mafanikio, ni vyema kwao.
 
Nenda kafanye utafiti kule unakofikiria Dr. Slaa hatafika uone mwamko ulivyo. Pengine utaona hakuna haja ya kuendelea na thread hii

A word of caution: Ni bora ukaambiwa ukweli, hata kama huupendi na unakuuma, ukaufanyia kazi na kubadili hali ilivyo kuliko kubisha na baadae kuja kuumbuka!!
 
Mimi pia selewi hata hayo maeneo unayoyazungumzia yapo wapi naishi kijijiiiini hamna umeme wala internet labada uenda mjini ila kila mtu hapa amejipiga muhuri uloandikwa dr slaa yani huwaambii kitu kwa dr slaa kudadadeki

Sasa kama huna access ya internet kabisa unaipataje JF? Ushabiki mwingine bwana!!!
 
Asante sana Luteni kwa mchango huu.

Mie nashauri huu WASTANI WA KURA ZA MAONI uzungumziwe na CHADEMA kila itakapopatikana nafasi kwenye redio na TV, na uwekwe kwenye magazeti, hata ikibidi kama advertisement.

Excellent!! Uzuri wa wastani wa Luteni ni kuwa umejumisha polls zenye marks zao walizo chakachua!! So ukipeleka kwa watu Wananchi) hili na likazungumzwa kwa lugha nyepesi, wapiga kura wa kawaida wata-ignore uchakachuzi wa REDET na SYNOVATE!!

CHADEMA's tactical team take this with open mind to be discussed in your review meetings!!(which i hope ipo).
 
The table below displays data from eight key polls in the run-up to the 2010 general election. You can follow the link to track the average results and select each poll to view the data in more detail

.......................TOPS....REDET....Synovate.....JF....M/halisi....CACT....Dailynews....UWT...AV %

Jakaya Kikwete.....18........71............61........22.......08........12............18...........48.....32.25%

Willibrod Slaa........76........12...........16.........69.......87........73............77...........52.....57.75%

Ibrahim Lipumba....05........10............05........03.......04........09............02...........00.....04.75%

Others.................01........07...........18.........06.......01.........06...........03...........00.....05.25%

Asante mkuu. Ukichanganya na za Uhuru, kazi kwisha kwa JK.............................!!! Kama Jamaa alivyosema hapo juu. REDET na CCM yao ni vilaza, hawajui poll of polls!!! Au ndiyo umewawahi kitengo chao cha IT, may may be walikuwa wanachakachua huko waliko!!
 
The table below displays data from eight key polls in the run-up to the 2010 general election. You can follow the link to track the average results and select each poll to view the data in more detail

.......................TOPS....REDET....Synovate.....JF....M/halisi....CACT....Dailynews....UWT...AV %

Jakaya Kikwete.....18........71............61........22.......08........12............18...........48.....32.25%

Willibrod Slaa........76........12...........16.........69.......87........73............77...........52.....57.75%

Ibrahim Lipumba....05........10............05........03.......04........09............02...........00.....04.75%

Others.................01........07...........18.........06.......01.........06...........03...........00.....05.25%

Haya Mwnanchi, Raia Mwema, Nipashe, n.k. data hizo za bure. Ila msisahau kuishukuru Luteni kwa niaba ya JF..............!!!!
 
The table below displays data from eight key polls in the run-up to the 2010 general election. You can follow the link to track the average results and select each poll to view the data in more detail

.......................TOPS....REDET....Synovate.....JF....M/halisi....CACT....Dailynews....UWT...AV %

Jakaya Kikwete.....18........71............61........22.......08........12............18...........48.....32.25%

Willibrod Slaa........76........12...........16.........69.......87........73............77...........52.....57.75%

Ibrahim Lipumba....05........10............05........03.......04........09............02...........00.....04.75%

Others.................01........07...........18.........06.......01.........06...........03...........00.....05.25%

Mkuu umesahau za majira na za redio free. kote slaa alikuwa anaongoza zaidi ya 70%. Nafikiri ipo post huku jamvini juu ya hiyo poll ya redio free lakini ya majira nafikiri bado inaendelea.
 
Ohh,, Jesus thanks very much for make us AWARE to these but we have to pressulize these datas to be dispayed in the magazine in order for every body to know the reality of this.GET FIVE.
 
Back
Top Bottom