Poll:Je,wapinzani waendelee kushiriki katika chaguzi zijazo zinazoandaliwa na kusimamiwa na Tume hii tulionayo sasa?

Je,wapinzani waendelee kushirikia katika chaguzi zijazo zinazosimiwa na Tume hii tuliyonayo saa?


  • Total voters
    18
  • Poll closed .
Kuendana na mazingira magumu ya kufanya siasa kwa wapinzani, Kikubwa ni kuendelea kushiriki uchaguzi na mapungufu yote yanayoonekana ktk chaguzi hizo yawekwe wazi..wananchi wote wafahamu. Hii itasaidia kuwaamsha wananchi kudai haki zao kwa njia nyingine kabisa maana njia ya kura haifaii tenaa
 
Back
Top Bottom