Poll:Je,wapinzani waendelee kushiriki katika chaguzi zijazo zinazoandaliwa na kusimamiwa na Tume hii tulionayo sasa?

Je,wapinzani waendelee kushirikia katika chaguzi zijazo zinazosimiwa na Tume hii tuliyonayo saa?

  • Total voters
    18
  • Poll closed .

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Kwa jinsi Tume hii ilivyosimamia chaguzi mbalimbali ziizopita ukiwemo uchaguzi mdogo wa kata 43 wa November 26 mwaka jana na huu wa leo,unadhani wapinzani waendelee kushiriki chaguzi zinazoandaliwa na kusimaiwa na Tume hii ya Uchaguzi tuliyonayo na ambayo sio Tume Huru?

Jibu ndio au hapana.

Unaweza kutoa maoni yako pia.
 
Kwa yaliyo jitokeza Arusha hakukuwa na Sababu kwa Wapinzan kushiriki Uchaguzi uhuu wa Siha na Ubungo.
 
Leo tusiposhinda na mbowe asipotoa tamko naba ni bora aondoke tu maana hana tena ufanisi

Swissme
 
Leo tusiposhinda na mbowe asipotoa tamko naba ni bora aondoke tu maana hana tena ufanisi

Swissme
Wewe Swissme umeanza kuchemka sasa. Ninavyokujua wewe si wakutoa statement kama hiyo, leo imekuwaje? Acheni kumpa presha kiongozi wa watu.
 
Leo tusiposhinda na mbowe asipotoa tamko naba ni bora aondoke tu maana hana tena ufanis

Swissme

Nangojea kuona utakachokifanya baada ya Matokeo kutangazwa na Mbowe kubaki kama Mwenyekiti wa maisha wa chama
 
Kwa jinsi Tume hii ilivyosimamia chaguzi mbalimbali ziizopita ukiwemo uchaguzi mdogo wa kata 43 wa November 26 mwaka jana na huu wa leo,unadhani wapinzani waendelee kushiriki chaguzi zinazoandaliwa na kusimaiwa na Tume hii ya Uchaguzi tuliyonayo na ambayo sio Tume Huru?

Jibu ndio au hapana.

Unaweza kutoa maoni yako pia.
Too late!
 
Sio tu wapinzani kutoshiriki lkn pia naona CCM wajitangaze watawala wa milele wawe wanamwapisha tu rais na wabunge wanao wapenda kuliko kupoteza billions of money kwenye chaguzi ambazo wameisha andaa mshindi
 
Kwa jinsi Tume hii ilivyosimamia chaguzi mbalimbali ziizopita ukiwemo uchaguzi mdogo wa kata 43 wa November 26 mwaka jana na huu wa leo,unadhani wapinzani waendelee kushiriki chaguzi zinazoandaliwa na kusimaiwa na Tume hii ya Uchaguzi tuliyonayo na ambayo sio Tume Huru?

Jibu ndio au hapana.

Unaweza kutoa maoni yako pia.

100% hapana, na sio iwe hapana tu wale wabunge wa upinzani wote wangeacha ubunge na vyama vyao vyote wavifute kule Bungeni wabakie akina Mtulia tu kwa 100%.
Mpaka jioni hii uchaguzi ulivyoendeshwa maana ya kuwepo upinzani Tanzania hamna.
 
Kujibu Ndiyo au Hapana hakusaidii kitu, ila cha maana ni kuangalia njia gani itumike ili kubadili hii Sera mpya ya CCM ya kuitegemea Tume ya uchaguzi na Polisi ili watangazwe washindi.

Historia ya duniani kote ni kuwa zile nchi zenye machafuko, ukiangalia source yake ni watawala kutohesimu sanduku la kura na badala yake kutanhazwa yule ambaye hakushinda kwa msaada wa Tume ya uchaguzi na Polisi.

Kama kweli Rais wetu anamwamini Mungu kama anavyotaka kutuaminisha basi inabidi atubu na ajirudi katika mwenendo wa utawala wake......

Ama sivyo ataitumbukiza nchi hii kwenye dimbwi kubwa sana la umwagikaji wa damu.

Mungu ibariki Tanzania
 
Hii wana beep kama wananchi wana uwezo wa kudai haki zao kwa kupitia nguvu ya immature, nina hakika wananchi waki simama kidete kwa siku mbili tu hadi tatu wao wenyewe watarudi nyuma, na lazima wajue kuwa wananchi ni wengi zaidi yao hivyo wkiamua hawawezi kuzuilika.
 
Kwa jinsi Tume hii ilivyosimamia chaguzi mbalimbali ziizopita ukiwemo uchaguzi mdogo wa kata 43 wa November 26 mwaka jana na huu wa leo,unadhani wapinzani waendelee kushiriki chaguzi zinazoandaliwa na kusimaiwa na Tume hii ya Uchaguzi tuliyonayo na ambayo sio Tume Huru?

Jibu ndio au hapana.

Unaweza kutoa maoni yako pia.
Utafiti huu umeidhishwa na NBS au COSTECH ili matokeo yake yawe na uhalali wa kusambazwa na kutumiwa na wadau wengine?
 
Hii wana beep kama wananchi wana uwezo wa kudai haki zao kwa kupitia nguvu ya immature, nina hakika wananchi waki simama kidete kwa siku mbili tu hadi tatu wao wenyewe watarudi nyuma, na lazima wajue kuwa wananchi ni wengi zaidi yao hivyo wkiamua hawawezi kuzuilika.

Wakenya ndio wanaweza kufanya hivyo sio Tanzania, watanzania na wazimbabwe wapo sawa tu.
Yashapita mengi ya kuwafanya wabongo waamke walipolala na kuwaamsha watawala lakini hakuna lililofanyika.
Kwa aina ya watu waliopo Tanzania CCM itatawala miaka mingine 100 ijayo.
 
Hivi unategemea Mbowe afanye nini katika ukandamizaji huu mkubwa wa demokrasia nchini??

Yeye kwa upande wake katimiza wajibu wake siku ya jana kwa kuongoza maandamano ya amani kuelekea kwenye Tume ili viapo vya mawakala wao wapewe.

Lakini kama kawaida ya Jeshi la ukandamizaji la Polisi likaanza kuwatawanya na kutumia silaha za moto kwa watu waliokuwa wakiandamana kwa amani, matokeo yake ni kuwa Mwanafunzi ambaye hata hakuwa kwenye maandamano yale kapoteza maisha yake!

Hakuna namna nyingine ya kushinikiza kurejeshwa kwa demokrasia nchini bila kuwashirikisha wanaccm wenyewe ambao najua wengi wao hawaridhishwi na namna chama chao kinavyoendesha siasa yake kibabe.

Kama watapuuza ushauri wangu wa kumng'oa kwenye uongozi Rais huyu, basi yatakuja kuwatokea yale yaliwakuta wazimbabwe.

Mugabe hapo mwanzo alimtesa sana Morgan Tshangirai huku wafuasi wake wakisheherekea, lakini hatimaye akamfukiza kazi na Makamu wake wa Rais, Munangwagwa hadi akatimkia Afrika Kusini!

Lakini Jeshi Lao lipo STRONG na likaingilia kati na kumwambia Mzee Mugabe ajiuzulu.

Na kama hilo halitatokea hapa Tanzania tuhesabu ni maumivu tu kwa siku zijazo.

Hebu Tujikumbushe maneno aliyatamka Tundu Lissu aliposema kuwa ameanza na wao wapinzani na atamaliza na wao wenyewe CCM!

Ameshaanza kwenye chama chao, amefuta hata mchakato wa kumpata mgombea!

Hivi unadhani 2020 akina Nape, Bashe na Msukuma watapitishwa na chama chao na kugombea majimbo yao.

Kama huamini utabiri wangu, basi keep cool Time will tell!
 
Chadema mumeshaanza kutafuta visingizio baada ya kuona mumeshindwa uchaguzi
 
Back
Top Bottom