Politics really can make odd bedfellows

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,639
2,000
Hivi ni macho yangu au...?

Baada ya 'kutumbuliwa' kwa Dr. Malecela watu ambao wameonekana kukerwa sana na kitendo hicho ni pro-UKAWA.

Sasa pro-UKAWA kwa nini wanakereka na kutumbuliwa kwa mwana CCM?

Tena mwana CCM aliyetangaza nia ya kugombea urais kupitia hicho chama chake mwaka jana.

Hizi siasa bana. Huwa zinashangaza sana wakati mwingine.
 
Zungu Pule

JF-Expert Member
Mar 7, 2008
2,218
2,000
Tena aligombea urais akiwa mfanyakazi wa umma. Na aliposhindwa kwenye urais, akarejea kuendelea na kazi yake bila kuulizwa chochote kana kwamba hakuna kilichotokea. Yaani huyu alitakiwa kuondoka siku nyingi - alipoamua kuingia kwenye siasa na kugombea urais.
 
Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,110
2,000
Hivi ni macho yangu au...?

Baada ya 'kutumbuliwa' kwa Dr. Malecela watu ambao wameonekana kukerwa sana na kitendo hicho ni pro-UKAWA.

Sasa pro-UKAWA kwa nini wanakereka na kutumbuliwa kwa mwana CCM?

Tena mwana CCM aliyetangaza nia ya kugombea urais kupitia hicho chama chake mwaka jana.

Hizi siasa bana. Huwa zinashangaza sana wakati mwingine.
We jamaa mchokozi sana...
 
mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,310
2,000
It's not about political affiliation
Pro ukawa wengi wanachojali ni logic na taratibu za kiutawala zinavyofanya kazi.
Wanaita ku set precedence. .....
Haiwezekani msoma tafiti atumbuliwe kwa jina la "kutofuata protocol " kisa tafiti hazimfurahishi "mtu fulani" na sisi tushangilie kama majuha. ..eti kisa ni mpambe wa CCM.
Doesn't that make sense to you Sir ?
 
pappilon

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
2,978

Eka Mirisho..
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,639
2,000
It's not about political affiliation
Pro ukawa wengi wanachojali ni logic na taratibu za kiutawala zinavyofanya kazi.
Wanaita ku set precedence. .....
Haiwezekani msoma tafiti atumbuliwe kwa jina la "kutofuata protocol " kisa tafiti hazimfurahishi "mtu fulani" na sisi tushangilie kama majuha. ..eti kisa ni mpambe wa CCM.
Doesn't that make sense to you Sir ?
Huyo ndo mgombea wenu 2020 UKAWA?
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,225
2,000
Hivi ni macho yangu au...?

Baada ya 'kutumbuliwa' kwa Dr. Malecela watu ambao wameonekana kukerwa sana na kitendo hicho ni pro-UKAWA.

Sasa pro-UKAWA kwa nini wanakereka na kutumbuliwa kwa mwana CCM?

Tena mwana CCM aliyetangaza nia ya kugombea urais kupitia hicho chama chake mwaka jana.

Hizi siasa bana. Huwa zinashangaza sana wakati mwingine.
Hizi siasa za Tanzania niza maajabu ya dunia!

Huyu Mwele kama angetumbuliwa karibu na uchaguzi mkuu, isingeshangaza kama asingepewa nafasi ya ugombea Urais!

Watanzania ni masikini sio kwa sababu ya ukosefu wa fursa bali ni kwa sababu ya ukosefu wa fikra pana zenye kuchambua masuala na mazingira kwa mtazamo wa kipekee.
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,225
2,000
Acha ya Dr tu hata melo tumepiga kelelele kuhusu kuonewa na serikali mpaka kapewa dhamana.
Melo hajapewa dhamana kwa sababu mmepiga kelele.

Melo amepata dhamana kwa sababu ya hoja za mawakili wake ndani ya takwa la kisheria.

Sheria hazina porojo wala hazijali kelele au maombi yasiyo ya kisheria.

Unanikumbusha wale walienda uwanja wa ndege Dar na kuanza kupiga kelele wakiomba usiku na mchana eti kwa uwezo wa Mungu wataruhusiwa kusafiri bila pass au visa kwenda ulaya kueneza neno la Mungu.

Tanzania kuna vituko!
 
goodluck5

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
4,015
2,000
Mkuu siku hizi ukawa hawasomeki, kwao muhimu ni kwenda against magu.....hata kama ni jambo la dhahiri ni lazima kupinga.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom