Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,445
Mimi namlaumu sana Dr. Tulia Ackson. Wabunge wanatakiwa kuwa Bungeni sasa hivi lakini wako mitaani. Sijui kama ni sahihi polisi kuzuia maandamano,lakini that is what they have usually done in such circumstances. Wapinzani walipaswa kubaki Bungeni na kubishana na Dr. Tulia,na kama wakishindwa,basi waelewe kwamba hayo ndiyo matatizo ya kuwa minority party.