Political Espionage: Jifunze kuhusu jasusi mchochezi (Agents Provocateur)

Nikupe hongera sana Dada kwa mada maridhawa imekaa vema sana na umenifungua masikio Leo katka ulimwengu wa intelejensia nitarud baadae kwa maswali
intelijensia ilianza karne nyingi zilizopita. ila inabadilika kulingana na muda unavyoenda, ila amini usiamini wale wa zamani walikua wakali kupita wa sasa kwa sababu hawakutumia elektroniki kama hawa wa sasa. ubongo pekee ndio ulitoa conclusion ambazo zilifanikiwa kwa asilimia kubwa. katika intelijensia Kuna vitu ambavyo mtu anafundishwa kulingana na kipaji chake, which means ma controller wana boost tu lakini mlengwa anakua nacho. ila kumbu kumbu ni kitu cha lazima....!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Agent Provocateur ni chambo anayejipenyenza katika kundi flani la jamii kuwasabibisha wale waliokusudiwa kuvunja sheria au Kutambua nani Kinara wa harakati fulani zisizoruhusiwa au zinazowakera Watawala au Serikali.

Tanzania iliwahi kutokea mara nyingi! Inasemekana kwa mara ya kwanza ni Ule mgomo wa miaka ya 1960's Chuo Kikuu cha DSM! Ulikuwa hauna impact na Rais alikuwa ameshapewa taarifa ya kuwa vijana wamejiandaa kugoma alitaka kuzungumza nao na kumaliza mgomo huo kwa amani! ila kundi flani ndani ya serikali lilipania wasomi wale waione hasira ya Nyerere! Wakapandikiza vijana wa idara ya usalama wa Taifa kujiingiza kwenye Mgomo na ndio waliobeba ujumbe ambao walijua ungeiamsha gadhabu ya Julius "Afadhali ya Mkoloni"Maneno hayo inasemekana yalimchefua sana Mwl. Nyerere akawatimua wote warudi nyumbani haraka.

Augustine Lyatonga Mrema - Mwaka 1990s akiwa Waziri wa mambo ya ndani akatembelea baadhi ya Vyuo vikuu akawaonya wanafunzi kuwa wajihadhari na Ujio Mageuzi nchini kwani lengo lake ni kuleta machafuko na taharuki! Yeye punde akaja kuwa Mwanamageuzi wa Kwanza Tz ndiye aliyewabaini wapinzani wote na Kuvuruga vyama vyote vilivyoonesha upinzani halisi nchini dhidi ya chama Tawala -NCCR,TLP - Kati ya real agent provocateur ni huyu Mzee.

Na wengine ambao wanajamvi mnawajua sana!
Kazi yao kubwa ni Kuprovoku! Kuleta uchochezi ili wenye Hisia kali wajulikane na watu hatari washughulikiwe haraka by any means necessary!
KGB ilitumia watu na namna hii kupima uzalendo fake na halisi ndani ya Urusi.

Asante.
angalia vurugu za syria, D. R. C ,Libya, and likewise , huwezi jua nani wako behind, kwa msemo wa kawaida something behind the scene...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Intelligence imegawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni
  • Espionage
  • Subversion
  • Sabotage

Esipionage ni ukusanyaji wa taarifa na uchambuzi wake. Hapo ndo unakutana na vitu kama HUMINT(Human Intelligence), SIGNINT(Signal Intelligence) na kadhalika

Subversion ni kutumia mbinu amabzo ni ndivyo sivyo(unorthodox) kulazmisha fikra(narrative) zenye manufaa kwa dola. Hapo ndo unakutana na mambo uliyoyaandika ya Agent Provocateur na Political Warfare kiujumla

Sabotage ni kuharibu kitu kwa maksudi na kwa umakini mkali ili kufika malengo flani.

Intelligence Officer kamili ni anayejua hayo yote matatu kiukamilifu
Mkuu ni zaidi ya hapo, hiyo kada ina vitu vingi nafikiri unawajua, wafuatiliaji, wadunguaji, watoroshaji, wahifadhi, watengeza documents. ni somo pana linahitaji kuzama kiundani katika kupekua documentaries kibao ufahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ss hayatusaidii cha msingi tumeelimika.. Kwani huyo the BOLD ali ileta kibiashara au kwa madhumuni hayo hayo ya kuelimisha... Jitahidi sana kuishinda hiyo roho mbaya ya wivu na uchochezi, itakumaliza sometime, somewhere....
Kweli thread nyingine watu wanachukua kutoka kwa watu, inabidi wawape credit. lakini ndio hivyo. binadamu tunatofautiana ila busara inahitajika kwa sababu ndio imetutofautisha na wanyama wengine, sifa ni kwako ewe mola..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bro mshana jr, Kuna nyuzi ulinialika lakini nikakuta imepita muda kama siku nne nafikiri, majukumu ndugu yangu niko tight sio mchezo lakini tupo pamoja, usikonde naomba uwe una nitagi ili nikiwa free nakutana nayo. kiswahili kizuri asikwambie mtu bro..!! with respect

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Agent Provocateur ni chambo anayejipenyenza katika kundi flani la jamii kuwasabibisha wale waliokusudiwa kuvunja sheria au Kutambua nani Kinara wa harakati fulani zisizoruhusiwa au zinazowakera Watawala au Serikali.

Tanzania iliwahi kutokea mara nyingi! Inasemekana kwa mara ya kwanza ni Ule mgomo wa miaka ya 1960's Chuo Kikuu cha DSM! Ulikuwa hauna impact na Rais alikuwa ameshapewa taarifa ya kuwa vijana wamejiandaa kugoma alitaka kuzungumza nao na kumaliza mgomo huo kwa amani! ila kundi flani ndani ya serikali lilipania wasomi wale waione hasira ya Nyerere! Wakapandikiza vijana wa idara ya usalama wa Taifa kujiingiza kwenye Mgomo na ndio waliobeba ujumbe ambao walijua ungeiamsha gadhabu ya Julius "Afadhali ya Mkoloni"Maneno hayo inasemekana yalimchefua sana Mwl. Nyerere akawatimua wote warudi nyumbani haraka.

Augustine Lyatonga Mrema - Mwaka 1990s akiwa Waziri wa mambo ya ndani akatembelea baadhi ya Vyuo vikuu akawaonya wanafunzi kuwa wajihadhari na Ujio Mageuzi nchini kwani lengo lake ni kuleta machafuko na taharuki! Yeye punde akaja kuwa Mwanamageuzi wa Kwanza Tz ndiye aliyewabaini wapinzani wote na Kuvuruga vyama vyote vilivyoonesha upinzani halisi nchini dhidi ya chama Tawala -NCCR,TLP - Kati ya real agent provocateur ni huyu Mzee.

Na wengine ambao wanajamvi mnawajua sana!
Kazi yao kubwa ni Kuprovoku! Kuleta uchochezi ili wenye Hisia kali wajulikane na watu hatari washughulikiwe haraka by any means necessary!
KGB ilitumia watu na namna hii kupima uzalendo fake na halisi ndani ya Urusi.

Asante.
profesa pumba vipi?yeye siyo agent?
 
Intelligence imegawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni
  • Espionage
  • Subversion
  • Sabotage

Esipionage ni ukusanyaji wa taarifa na uchambuzi wake. Hapo ndo unakutana na vitu kama HUMINT(Human Intelligence), SIGNINT(Signal Intelligence) na kadhalika

Subversion ni kutumia mbinu amabzo ni ndivyo sivyo(unorthodox) kulazmisha fikra(narrative) zenye manufaa kwa dola. Hapo ndo unakutana na mambo uliyoyaandika ya Agent Provocateur na Political Warfare kiujumla

Sabotage ni kuharibu kitu kwa maksudi na kwa umakini mkali ili kufika malengo flani.

Intelligence Officer kamili ni anayejua hayo yote matatu kiukamilifu
Safi
 
Tabia mbaya sana hii umeiba makala ya HABIB ANGA ama THe BOLD kisha umeileta humu kama yako bila kuto credit zozote kwake wewe ni mmoja ya watanzania wavivu na wawezembe kufikiri
HATA MIMI NILIONA MAPEMA LAKINI MIMI NIMEMSAMEHE ILA KAMA KIMEKUUMA POLE
 
Back
Top Bottom