Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,464
- 113,539
Wakati tukimsubiri Hutaki Unaacha for confirmation, think about thisMengi zaidi anayo member mwenzetu.... Hutaki Unaacha kutoka TISS. Niliongea nae jana jioni akasema kisa cha kifo cha aliyekuwa makamu wa rais dr Omar Juma atakileta siku za karibuni
1. Kwa vile uras wa Tanzania ni wa zamu kati ya Bara na Visiwani, Alianza Nyerere akafuatia Mwinyi akaja Mkapa zamu ilikuwa ni ya Zanzibar na mlengwa alikuwa Dr. Omar ndio awe mgombea!.
2. Ili urais urudi bara, Dr. Omar had to go to justify hakuna mtu wa Zanzibar, atakayetufaa!
This is just a conspiracy theory subject to confirmation, ila pia nilisikia mahali hata Baba wa Taifa walim. na Karume walim..we acha tuu! Ni hao hao walio..
Kolimba walimkolimba
Imran Kombe wakamkomba
Mama Mbatia wakambata
Wangwe wakamuwanga
Juma Jamaldin Akukweti wakamkwetua
Gibbons Mwaikambo wakamkomba
Advocate Kapinga wakampinga
Prof. Jwani Mwaikusa wakamsusa
Balozi Wilson Tibaijuka wakamjuka
etc, etc and list goes on!
Nawahakikishiai tukimchagua Lowassa, ataifumua fumu TISS na kuachana na michezo michafu hii.