Polisi yavamia na kuvunja ofisi za CHADEMA Dodoma na kupora nyaraka

Dicteita kaisha ondoka, Sasahivi Watanganyika wanaishi kwa raha,labda Matanga na Sukuma gang, ndio wanaoteseka ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ tulisema humu msitukane mamba Kabla haujavuka mto

Dicteita kaisha ondoka, Sasahivi Watanganyika wanaishi kwa raha, labda Matanga na Sukuma gang ndio wanaoteseka ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜€ tulisema humu kuwa,usitukane mamba Kabla haujavuka mto mlitukana matusi ya nguoni Magufuri hata ambao hajatenda Mradi haonekane Magufuri afai.Mungu akaona isiwe tabu kamwondoa kaleta mlio mtaka,naye mnaanza kulialia ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„nilisema mda utafika tu mtakiri kuwa Magufuri alikuwa Rais bora kuliko huyu mliyekuwa mnashangilia
Toka lini mwanafunzi akamzidi Mwalimu
 
Umuhimu wa katiba mpya raisi akifa turudi kwenye uchaguzi Ili tupate mtu sahihi chaguo la wengi na sio chaguo la katiba ya ccm,siku zote huwezi pata Makamu wa raisi smart.
 
Back
Top Bottom