Polisi yavamia kikao cha ndani cha CHADEMA jimbo la Segerea, Patrick Asenga na wenzake wakamatwa

AMANI YA NCHI NI MUHIMU SANA KULIKO wafuasi wa Chadema, kamwe tusikubali wahuni wachache wakajaribu kuichezea Amani yetu.
yeyote atakaye jiona ana uhalali wa kuchezea amani yetu ana stahili au wanastahili kuchakazwa vilivyo ili iwe fundisho kwa wengine.
amani imechezewaje ?
 
Segerea ni makazi ya majambazi wastaafu. Active Majambazi wako Kinyerezi mpaka Mfuru.
Hizo rasilimali wanazotumia polisi kuzuia mikutano ya CHADEMA ndio zinazoongeza matumizi ya kawaida ya serikali badala ya matumizi ya maendeleo maana utakuta polisi hawana hata nyumba za kuishi au wastaafu wao hawalipwi mafao yao kwa wakati kumbe hiyo pesa Inatumika kugharamia upuuzi Kama huo
 
Natoa pongezi kwa jeshi letu, CHADOMO hawapati tena symphacy yetu watanzania watanzania wengi wameshtuka kwa sasa hawaendesheki kama manyumbu, WAMESHAELEWA MWANASIASA KUKOMAND WATU ILI WATEKELEZE KUSUDIO LAKE NA BAADAE YEYE NDIO APATE MANUFAA WAMESHALIELEWA HILO.
 
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za ccm kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya ccm kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya ccm yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .

View attachment 1878915
Ccm kwisha kabisa
 
Hapo CCM meno yote nje wakichekelea uhalifu unaofanywa na POLISI,hivi Tanzania ipo katika vita?Tumekuwa tukiambiwa Hali ni shwari na sisi ndiyo kisiwa cha amani duniani.Matendo ya Jeshi letu ni uvunjifu wa dhahiri wa Haki za RAIA kujumuika(CHADEMA) ndiyo wahanga number 1.
Bila kudai Katiba ya Wananchi tumekwisha,tutalia ukali kila leo.
Hivi wewe hujiulizi tu mbona NCCR hawana vurugu??

Najua jibu utakalokuja nalo ni NCCR sio wapinzani.

Ila serious mkuu, jiulize why kila siku CDM??
 
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za ccm kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya ccm kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya ccm yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .

View attachment 1878915
Polisi hawana kazi zaidi ya kupambana na vyama vya siasa huku likiacha watu wanalipishwa hela za sungu sungu eti kisa vibaka wapo mtaani....

Ni upumbavu huu. Hizo nguvu wangeelekeza kwenye wajibu wao, wala hii mizigo wanayopewa wananchi ya kujilipia ulinzi isingekuwepo
 
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za ccm kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya ccm kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya ccm yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .

View attachment 1878915
 
Kama ni kweli hawa wanaenda kupambana na Chadema basi hao Chadema ni kweli wanatisha...

Jeshi la Polisi vs Chadema.png
 
Hizo rasilimali wanazotumia polisi kuzuia mikutano ya CHADEMA ndio zinazoongeza matumizi ya kawaida ya serikali badala ya matumizi ya maendeleo maana utakuta polisi hawana hata nyumba za kuishi au wastaafu wao hawalipwi mafao yao kwa wakati kumbe hiyo pesa Inatumika kugharamia upuuzi Kama huo
Mbona unazungumzia vitu vikubwa, sare zenyewe ni majanga. Unakumbuka Wakati flani tuliambiwa Kuna watu wanaazimana uniform.
 
Back
Top Bottom