Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi yatoa ripoti ya utekwaji wa Dr. Ulimboka: mmoja wanaodaiwa kuhusika akamatwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by asakuta same, Jul 13, 2012.

 1. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,082
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 0
  Jeshi la polisi limetoa ripot ya mhusika wa utekwaji wa dr ulimboka kuwa ni raia wa kenya ambaye ni gangstar aliyebobea ktk utekaji?
  Source: radio one taarifa za kila saa.

  my take;hii ni ngumu kumeza ,nitarudi baada ya muda na maoni yangu.

  Updates
  ; Mtekaji huyo alikodiwa na mtu asiyemfahamu na alikuwa pamoja na watu wengine asiowafahamu, polis imesema imemkamata huyo mmoja na inaendelea na mahojiano naye na itaendelea kutoa taarifa zaidi..

  My take; Duh! hii kali ,hivi polisi Tanzania wapo serious na kutumika huku kwa maslahi ya wachache.
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,849
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Duh!mbona walikuwa wengi?kwa nini wamtaja mtu mmoja na alifanya hivyo kwa manufaa gani?
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,873
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Wasifanye watu wajinga kiasi hiko bana.
   
 4. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,814
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na mimi nimesikia radio One. Mwenye taarifa kamili ya polisi kwa vyombo vya habari watuwekee hapa tuichunguze
   
 5. r

  rajoh Senior Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Vipi hawajasema lengo la mtekaji lilikuwa nini?
   
 6. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,846
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  sasa kama wamemjua kwanini wasimkamate tukajua nia yake.
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,517
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wasidhani wa TZ ni wajinga . hebu wapishe uchunguzi huru.
  Yawezekana ni kubadilishana magangstar .lol!

  Hii ya DR Ulimboka tunataka tume huru
   
 8. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siwaamini polisi hata waseme mhusika ni JK na mwema
   
 9. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,698
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Taarifa kamili hapa inahtajika.
   
 10. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,038
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Subiri matokeo ya uchunguzi binamu usiwe mbishi mbishi namna hiyo.
   
 11. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,310
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 280
  Movie nyingine ya James Bond hii
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 11,575
  Likes Received: 4,125
  Trophy Points: 280
  Wameanza kusema eehh!!!
  Ina maana walitumia raia wa kenya kutekeleza uhalifu wao, manake wahalifu wa ki tz hawawafahamu, wamewajuaje wa kenya?
   
 13. a

  afwe JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,062
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Changa la macho!
   
 14. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  tumewazoea hata dr mwakyembe anawajua, waliwahi kumzushia kuwa alikuwa amelala wakati anapata ajali iringa." jeshi la polisi ni jeshi la wapiga ramli" - dr mwakyembe
   
 15. k

  kamili JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 630
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Utendaji wa police wetu itanichukua maisha yangu yote kuelewa hekima, busara na elimu yao.
   
 16. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,254
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duh...bado naona kizungu zungu!
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,605
  Likes Received: 3,529
  Trophy Points: 280
  Maswali:

  1:Raia wa Kenya alikuwa na maslahi gani?

  2:Ni lini waligundua huyo mkenya ni Gangsta aliyekubuhu?

  3:Taarifa zake zipo Interpol?

  4:Ni nini historia ya uhalifu wake?

  5:Kulikuwa na connection gani?

  6:Wengine walioonekana ni akina nani?

  7:Alitumwa na nani?Hili ndilo watanzania wanataka kujua

  8:Kumbuka kuna thread ilikuja hapa juu ya mpango wa polisi na vyoimbo vya usalama kufanya jitihada za kupandikiza jambazi sugu kwenye hili suala ili kuficha ushahidi? Je,ndiyo andiko liloletwa hapa limetimia?

  Kama ndivyo,je ni kwa nini Polisi hawakubadilisha mbinu ambayo imeshafichuka?
   
 18. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,341
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Gangstar wa kenya stupid. wanawaona watu watoto sana, kwanza alikuwa mtu mmoja tu??
   
 19. F

  FJM JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,091
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hahahahahahaaaaaaaaaaa.... lol! kijana ongeza chupa mbili tafadhali na ndizi moja, usisahau chachandu.
   
 20. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,074
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kituko kingine....
   
Loading...