Polisi yapiga marufuku taa za mwanga mkali kwenye magari

Ni jambo mhimu mno,
Hata hivyo polisi wamechelewa kutoa tamko hilo kwani ni mda mrefu watumia barabara wengine wamekuwa wakiumia kwa sababu zisizo kuwa na ulazima.
 
Hatua nzuri,ila waache kutupiga fine zisizo halali!mfano pale daraja la kigamboni,wanajificha anatokeza mkono na tochi tu!
 
Ngachoka kabisa naaya mtamko badala ya kuzui siingie nchi wao wanagombana na wanachi uku iyo mitaa mibovu inaingia nn? Maana yake
 
Nilitaka nimuulize kamanda Mpinga hizi stupid LED bars zinazowekwa kwenye magari kiholela ni sawa?

Bado wale ambao wamefanya taa za brake disco lights.

Hoongera jeshi la polisi.

Nimeona gari moja la TBC pale Morogoro nalo lina hizo mbwembwe za taa za brake kuwa disco light, kumbe magari ya serikali nayo yamo kwenye modifications
 
Hoja siyo mbaya, but how


Upo sahihi mambo mengi yanaanzishwa lakini hayafiki mbali, mfano swala la helmet kwenye pikipiki, ufungaji mikanda ya usalama kwenye mabasi mengine yana mikanda geresha na kila siku yanafanya safari na yanakaguliwa, usajili wa pikipiki kwa namba mpya nk
 
Back
Top Bottom