Polisi yakamata watuhumiwa tisa wa ujambazi Dar es Salaam

Hakuna majambazi hapo, hizi ishu zipo sana kwenye magodown.
Wameuzwa hao

hata mimi nafahamu, wapigaji wa kwenye magodown hawaendi na silaha, ndio maana nikasema kama wamejiridhisha ni majambazi kweli wana mapanga na bunduki. Wazee wamagodown huwa ni michongo tu.
 
Ni upumbavu kumpeleka muhalifu hospital akatumie kodi zetu. Njia sahihi ya kuwamaliza wahalifu ni kutumia bunduki, bunduki ndio solution ya kuishape Jamii ikae kwenye mstari, kwann uwe mwizi.
 
Hakuna majambazi hapo, hizi ishu zipo sana kwenye magodown.
Wameuzwa hao
SAsa wao wamekubali vipi kuuzwa,eneo la tukio unafata nini. Police wanawajua wezi wote mjini. Huwezi niambia mganga awajui wachawi wote mtaani
 
Back
Top Bottom