Elections 2010 Polisi wazagaa mitaani

Sasa kama police ni wengi si ndo vizuri ili wakulinde maana siku hizi vibaka wengi, hivi umesema ni police wengi au trafki wengi mbona unanichanganya
 
Hatutaogopa Polisi. Naomba ujumbe huu uwafikie kwamba tutakapofikia maamuzi magumu hatutaogopa polisi.
 
Nguvu ya Umma ina subiri maamuzi ya Rais wao Dr.Slaa.

Ha ha haaaaaa, nguvu ya umma au ya ushetani ? , nguvu ya umma ni kura na zimeisha pigwa tumemaliza uchaguzi huru na wa haki kwa amani na utulivu. Mungu ibariki Tanzania, Mungua Ibariki Afrika
 
Mungu habariki UOVU
 
Kweli ulikuwa huru, je haki?
 
Tunajua kinachokuweka hapo kwenye hiyo computer ni pesa za dola kwa hiyo kimsingi upo hapo kwa propaganda na kuganga njaa, inasikitisha jinsi mnavyotuchelewesha.

Mungu habariki UOVU
Well said brother we all love our country.
Kweli ulikuwa huru, je haki?
Inavyoelekea kwenye hilo hawawezi kuwa na majibu.
 
Back
Top Bottom