Dagh hadi kuna mapolice gays , watu watapona kweli?, kuna gay police mmoja huwa akikamata , haswa haswa vijana masharobaro( meaning handsome boys) pale maisha club,amabo wanakau hawana kosa na wana kwenda club ,yeye ana sisitiza kua wameficha bangi , so lazima awasachi, nacho fanya ana walazimisha wavue nguo au kuanza kuwa papasa sehemu za uume na kushika dhakali eti kuangalia kama wameficha bangi kwnye chupi. Hii ni sawa na hawa police, cuzin wangu ame kumbwa na huyo police tumemfuatilia tatizo sura hajaishika
What do you expect!? Nchi inaongozwa kienyejienyeji tu ndio matokeo yake haya tunayapata! Ee Mungu utupe nguvu ya kuwateketeza wote wasio na utu na wanaotumia pisitions zao kunyanyasa wengine!
Jeshi la Polisi halina tofauti kabisa na jeshi la Polisi la Africa Ya Kusini wakati ule wa utawala wa makaburu,mpaka tutakapofanya kama walivyofanya wanahi wa africa kuhusu kupinga utawala wa kibaradhuri ndipo tutakapo komboka sasa hivi tukingojea maneno maneno hatuikomboa nchi yetu toka kwenye genge la wahuni na hawafiki ishirini ni kuufanya maamuzi magumu tuu kama wananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.