POLISI wavamia,WAPORA...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Katika hali isiyo ya kawaida, Askari wa Polisi wa Doria wa Wilaya ya Kibaha walivamia, kukamata, kupiga na kupora watu pesa zao.Tukio hilo limetokea katika Mtaa wa Visiga-Madafu Kibaha, Pwani majira ya saa tatu usiku karibu na Baa moja iliyopo sehemu hiyo.Watu wakiwa wanaendelea na harakati zao za kimaisha, ghafla liliingia gari la Polisi na kushusha askari sita. Askari hao,bila kuchelewa waliaanza kukamata watu ovyo kuwapiga na kuwasweka garini mwao.

Waliokamatwa walipigwa vibao na ngumi garini huku wakisachiwa pesa na kuchukuliwa zote walizokuwa nazo.Gari lilitembea kidogo kuelekea Mailimoja kisha kuwashusha watu hao wakiwa na maumiu ya mwili na ya kiuchumi. Askari hao waliahidi kurudi tena siku nyingine.Je,hii ni halali?

Chanzo: Mimi nilikuwepo hapo. Nilikamatwa lakini Askari wakanywea baada ya kuwaonesha kitambulisho wakaniachia haraka.
 
nyie mlishaambiwa mwisho wa kukaa bar ni saa tano na ikifika saa tano bar zifungwe. hata hivyo waliwahurumia mungepelekwa mahakamani kwa kosa la uzululaji. nyie ndo mnafanya kazi ya polisi kuwa ngumu. wenzinu wapo doria nyia mwawapigia kelele.
Wangesema kuna majambazi yenye siraha yamekimbia na kujichanganya kwenu si sasa hivi mungekuwa mnasaidia jeshi la polisi?. wana roho nzuri kama kweli waliwaachia bila masharti.
 
Polisi wa tz kwa ukwapuaji utadhani mgambo wa jiji. Zile program za polisi rafiki ziliishia wapi?
 
nyie mlishaambiwa mwisho wa kukaa bar ni saa tano na ikifika saa tano bar zifungwe. hata hivyo waliwahurumia mungepelekwa mahakamani kwa kosa la uzululaji. nyie ndo mnafanya kazi ya polisi kuwa ngumu. wenzinu wapo doria nyia mwawapigia kelele.
Wangesema kuna majambazi yenye siraha yamekimbia na kujichanganya kwenu si sasa hivi mungekuwa mnasaidia jeshi la polisi?. wana roho nzuri kama kweli waliwaachia bila masharti.
mbona threaad inasema saa tatu?
 
mbona threaad inasema saa tatu?

ingekuwa wana nia ya kukwapua wasingeenda na gari na namba zao za uniform wangeficha kwa makoti. kama vipi wangepeleka report na gari iliyo husika kituoni. sababu kukwapua sio kazi ya polisi bali wachache watovu wa nidhamu ndo wanafanya hivyo. mi nmesema saa tano sababu hizi ni habari za kuambiwa na neno la mtu mmoja ni tamu. akisutwa ndo anabainika.
 
hujui unachokisema wewe....tembelea uswahilini utayaona mengi mkuu....
 
nyie mlishaambiwa mwisho wa kukaa bar ni saa tano na ikifika saa tano bar zifungwe. hata hivyo waliwahurumia mungepelekwa mahakamani kwa kosa la uzululaji. nyie ndo mnafanya kazi ya polisi kuwa ngumu. wenzinu wapo doria nyia mwawapigia kelele.
Wangesema kuna majambazi yenye siraha yamekimbia na kujichanganya kwenu si sasa hivi mungekuwa mnasaidia jeshi la polisi?. wana roho nzuri kama kweli waliwaachia bila masharti.

lazima na wewe utakuwa ni mmojapo kati ya hao polisi walio shambulia raia
 
Hao Polisi siku wakosee wavamie bar za pale kwa mathias wanapojipumzisha wale vijana wa nyumbu.
 
nyie mlishaambiwa mwisho wa kukaa bar ni saa tano na ikifika saa tano bar zifungwe. hata hivyo waliwahurumia mungepelekwa mahakamani kwa kosa la uzululaji. nyie ndo mnafanya kazi ya polisi kuwa ngumu. wenzinu wapo doria nyia mwawapigia kelele.
Wangesema kuna majambazi yenye siraha yamekimbia na kujichanganya kwenu si sasa hivi mungekuwa mnasaidia jeshi la polisi?. wana roho nzuri kama kweli waliwaachia bila masharti.

Amesema majira ya saa tatu mkuu !
 
Kawaida yao.Walikuwa wanatafuta waliohusika na kifo cha kamanda Bhalo.Au la mngeunganishwa na kesi ya wizi bandarini.Get used to that.
 
nyie mlishaambiwa mwisho wa kukaa bar ni saa tano na ikifika saa tano bar zifungwe. hata hivyo waliwahurumia mungepelekwa mahakamani kwa kosa la uzululaji. nyie ndo mnafanya kazi ya polisi kuwa ngumu. wenzinu wapo doria nyia mwawapigia kelele.
Wangesema kuna majambazi yenye siraha yamekimbia na kujichanganya kwenu si sasa hivi mungekuwa mnasaidia jeshi la polisi?. wana roho nzuri kama kweli waliwaachia bila masharti.

Amakweli kumbe na dubu unasapport ujinga??
Hao police walikua wanatafuta pesa ya kula na huyo jamaa alipona kwa7bu alikua yuko na kitambulisho chake,
hii ni kawaida sana kwa police kufanya mambo kama hayo ifikapo miezi hii mpaka mwaka mpya coz wanaona ndo njia yakupata hela kirahisi.

Hii ndio ilifanya hata yuule jambazi aliyefungwa kifungo cha miaka 15 jela mwaka 2010 akutwe tena akiwa uraiani huku akiwa ameshafanya matukia mengi.
Chanzo ninaamini ni rushwa tu hamna kingine.
 
Askari sita, mlishndwa kuwashughulikia? kweli Watanzania bado tupo kwenye usingizi wapono. Askari majambazi wanaiba mnawaangalia kwanini mlishindwa kuwashughulikia?
 
ingekuwa wana nia ya kukwapua wasingeenda na gari na namba zao za uniform wangeficha kwa makoti. kama vipi wangepeleka report na gari iliyo husika kituoni. sababu kukwapua sio kazi ya polisi bali wachache watovu wa nidhamu ndo wanafanya hivyo. mi nmesema saa tano sababu hizi ni habari za kuambiwa na neno la mtu mmoja ni tamu. akisutwa ndo anabainika.

Wale Askari Polisi walioongozwa na Zombe kwenda kuwaua wale wafanya biashara ya madini walivaa uniform na magari yalikuwa na namba na wakawapeleka kabisa kituoni na baadae kuwatoa na kwenda kuwaua mcituni huko.. Mkuu huo ciyo utetezi hata kidogo.. Ukweli Polisi wengi wamegeuka wezi na majambazi.. Unapocikia Polisi wamepambana na Majambazi na kuwaua watano bila ya wao askari kujeruhiwa au gari zao kuvunjwa hata kioo unaamini ni kweli..? Vituo vingi vidogo vya Polisi vimekuwa ni miradi.. Wanakamatwa watu mitaani (tena ciku hizi wanakamatwa na hawa "ulinzi shirikishi") na kupelekwa vituo hivyo vidogo.. Kutoka ni mpaka watoe hela wao au ndugu zao.. Nimeona hii kwa macho yangu so i know.. Na kwa vile hakuna hatua zozote zinachokuliwa dhidi ya Askari Polisi hao.. Wananchi wengi tumeshajenga dhana kwamba Polisi karibia wote ni waovu.. Tofauti yao ni kwa viwango..
 
nyie mlishaambiwa mwisho wa kukaa bar ni saa tano na ikifika saa tano bar zifungwe. hata hivyo waliwahurumia mungepelekwa mahakamani kwa kosa la uzululaji. nyie ndo mnafanya kazi ya polisi kuwa ngumu. wenzinu wapo doria nyia mwawapigia kelele.
Wangesema kuna majambazi yenye siraha yamekimbia na kujichanganya kwenu si sasa hivi mungekuwa mnasaidia jeshi la polisi?. wana roho nzuri kama kweli waliwaachia bila masharti.
na wasiwasi na wewe utakua ni mmoja wao na hao polisi waliofanya tukio hilo la ujambazi we mtu kakwambia ilkua saa tatu usiku ila we mwenzetu hata hatukuelewi unasema nin hapo.
 
Ukickia mfumo wa nhi hii nimbovu ucfikiri eti ni viongozi2 hapana mpaka hao vibenga, hasa polis ndio hamnazo kabisaaa
 
Back
Top Bottom