Polisi wavamia Ofisi za jimbo ACT Mbagala Kuu na kukamata Viongozi na Mawakala

Ofisi ya Jimbo la Mbagala Kuu ya ACT Wazalendo imevamiwa na Polisi Mida ya jioni jana jumamosi na wakalazimisha kuwakamata watu wote waliopo ambao ni pamoja na viongozi na Mawakala kwa hoja kuwa wameweka mkusanyiko usio halali.

Kwa hiyo Sasa RASMI mikusanyiko kote nchini HAIRUHUSIWI? Mkusanyiko halali ukoje? Vipi haki ya kikatiba ya kukusanyika?
Mama Samia haya mambo Yana baraka zako? Unahisi yatakusaidia "kusimamisha" uchumi?

Huoni kuwa haya matendo yataharibu taswira yako kimataifa?

Umeshasahu mara hii madhara ya chuki za kisiasa zilizopitiliza nyakati za ugonjwa mpaka msiba?
===
View attachment 1857971
View attachment 1857966
Tamaa ilimponza fisi
 
Sasa mbona hapa hii kata ya Mbagala kwa hadi jana kulikuwa kuna kampeni za uchaguzi mdogo wa kata, sasa kampeni hizo watazifanya vipi bila kukusanyika?
 
Ofisi ya Jimbo la Mbagala Kuu ya ACT Wazalendo imevamiwa na Polisi Mida ya jioni jana jumamosi na wakalazimisha kuwakamata watu wote waliopo ambao ni pamoja na viongozi na Mawakala kwa hoja kuwa wameweka mkusanyiko usio halali.

Kwa hiyo Sasa RASMI mikusanyiko kote nchini HAIRUHUSIWI? Mkusanyiko halali ukoje? Vipi haki ya kikatiba ya kukusanyika?
Mama Samia haya mambo Yana baraka zako? Unahisi yatakusaidia "kusimamisha" uchumi?

Huoni kuwa haya matendo yataharibu taswira yako kimataifa?

Umeshasahu mara hii madhara ya chuki za kisiasa zilizopitiliza nyakati za ugonjwa mpaka msiba?
===
View attachment 1857971
View attachment 1857966
Tunaye dictator mwenye maumbile ya kike sijui anaitwa dictress au nani…?
 
Back
Top Bottom