Polisi wavamia Ofisi za ACT-Wazalendo Vingunguti alizokuwepo Zitto Kabwe

hv polis wanavamia!!! au wapo kutimiza majukumu yao?? majambaz ndo wanavamia
 
Kilichonisikitisha ni kukosekana Kwa wabunge wa Upinzani bungeni basi!! Lakini kufa Kwa Chama kinachoitwa Chadema nimefurahi Sana!

Hawa watu siasa zao sjawahi kuzikubal hata chembe! Ugomvi ugomvi Tu Kwa kila kitu

Tanzania Asante Kwa kunitolea dubwasha linaloitwa Chadema
 
Mkuu maumivu ya serikali dhalimu ya jiwe nayajua vyema, huku nimekuja kwa muda tu, hata mwezi sijafikisha na soon narudi huko. So maovu ya jiwe nayajua vizuri sana. Je unajua hata mikataba ya madini mpaka leo ni siri ya Jiwe? Achilia mbali manunuzi ya ndege, sidhani kama hata wewe unajua alinunua kwa fedha kiasi gani. Au na wewe ndiyo wale wanaosema kuwa hawataki kujua bei wala faida ya hizo ndege, wao wanataka kuziona zinaruka tu
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Wewe kweli kiazi yani

Aziza usimuache mmeo

Aziza usimuache mmeo
Siku ukipata akili utaacha kwenda kutinduliwa kwa bwana wako Mbowe
 
Kilichonisikitisha ni kukosekana Kwa wabunge wa Upinzani bungeni basi!! Lakini kufa Kwa Chama kinachoitwa Chadema nimefurahi Sana!

Hawa watu siasa zao sjawahi kuzikubal hata chembe! Ugomvi ugomvi Tu Kwa kila kitu

Tanzania Asante Kwa kunitolea dubwasha linaloitwa Chadema
Ni wajinga hakuna mfano... hata ukiwa na kijana kwenye shuhili zako Nani chadema tegemea maendeleo hasi siku hadi siku
 
Lengo la maandamano haya ni kusambaza taarifa za uchaguzi feki dunia nzima , jambo ambalo limetimizwa na Mambosasa
Sasa unategemea kuwa tutateseka subiri uone kama dunia itwaamini wananchi ndio waamuzi , ubinafsi umewajaa kwa ajili kutaka kujaza matumbo yenu na tumewakataa na ushoga wenu.
 
Hivi kweli wananchi wakiamua kuandamana wanaweza kukatazwa?
Na mbona humu mlisema mpo tayari kwa lolote? Iweje sasa mseme polisi wanewakataza?
Sijui ni lini washabiki wa chadema humu wataacha ujinga na ndio wanaokiharibu chama kwa ujingaujinga waliona nao
Wananchi waoga wanaweza kukatazwa.

Unapoandika "mlisema mpo tayari kwa lolote" unanilundika na kundi gani? Wapi nilisema hilo?

Au unafanya makosa ya "one track mindset" kwamba yeyote anayehoji serikali ni CHADEMA?

Unapoandika "iweje mseme Polisi wamewakataza" unamkusudia nani? Mimi naandika kama mtu binafsi, unanilundikaje na hao wengine kwa mkumbo?

Wapi nimesema mimi ni mshabiki wa CHADEMA?

Hivi mtu hawezi kuwa mshabiki wa haki za kikatiba bila ya kuwa mshabiki wa CHADEMA?

Unaelewa tofauti ya hayo mawili?
 
mkuu unahangaikaje na huyo mchumia tumbo ?
 
Wananchi wamewakataa kabisa , wanataka kuichafua njia nyingine kuichafua nchi, asiyekubali kushindwa si mshindani wanadhani wananchikuwa hawajawaelewa ndio hata maandamano wananchi hawataki.
Haya mshashinda "wawashieni wajasiriamali mtandao wapate rizki zao"
au bado mnaogopa kuanikwa ilhali kiongozi ashapatikana?
 
Hahahah! Chadema bhana hii nchi ipo imara kuliko jana msiijaribu serikali.

Uchaguzi umeisha sasa tujenge nchi.

URT- JPM
SMZ- Mwinyi
 
Back
Top Bottom