Polisi wavamia Ofisi za ACT-Wazalendo Vingunguti alizokuwepo Zitto Kabwe

Wananchi wamewakataa kabisa , wanataka kuichafua njia nyingine kuichafua nchi, asiyekubali kushindwa si mshindani wanadhani wananchikuwa hawajawaelewa ndio hata maandamano wananchi hawataki.
Kama wananchi wamewakataa, njia rahisi kabisa ya kuonesha hilo ilitakiwa iwe kuwaachia wafanye maandamano.

Halafu tungeona wananchi wanavyowakataa.

Kuwanyima haki yao ya kikatiba ya kuandamana kunaonesha serikali ya CCM inaogopa nguvu ya watu watakaowaunga mkono kwenye maandamano.

Hata kama wananchi hawawaungi mkono.
 
Sidhani kama kuna haja ya matusi mkuu, kwani lazima wote tuishi Tanzania? Pamoja na kuwa mbali lakini lazima tuwape hamasa waliopo huko na soon tunarudi nyumbani
Huwezi ukajua uchungu wa kufiwa kama hujawahi kufiwa, huwezi ukamwambia mtu ale mavi wakati wewe huyali hayo mavi. WATANZANIA WALIO WENGI WAMEAMUA KUFANYA DEMOKRASIA YA KUMCHAGUA MAGUFULI SASA MAANDAMANO YA NINI? HATUTAKI MAANDAMANO
 
Mkuu maumivu ya serikali dhalimu ya jiwe nayajua vyema, huku nimekuja kwa muda tu, hata mwezi sijafikisha na soon narudi huko. So maovu ya jiwe nayajua vizuri sana. Je unajua hata mikataba ya madini mpaka leo ni siri ya Jiwe? Achilia mbali manunuzi ya ndege, sidhani kama hata wewe unajua alinunua kwa fedha kiasi gani. Au na wewe ndiyo wale wanaosema kuwa hawataki kujua bei wala faida ya hizo ndege, wao wanataka kuziona zinaruka tu
 
Wananchi wamewakataa kabisa , wanataka kuichafua njia nyingine kuichafua nchi, asiyekubali kushindwa si mshindani wanadhani wananchikuwa hawajawaelewa ndio hata maandamano wananchi hawataki.
Vipi kuhusu vitisho vya polisi? Maandamano ni halari ki sheria ilimradi yawe ya amani, upande wa pili wako tayari hata kwenye hayo ya amani? Sio kweli wananchi hawataki kuandamana isipokuwa ni hatari kuandamana.
 
Hii ni hatari kubwa!

Ndio maana wazungu huwa wanatudharau, Utakuta jambo la kufanya kistaarabu na kwa kutumia muda na nguvu ndogo tu, Sisi waafrika tunahangaika vibaya mno na hata kutumia rasilimali nyingi isivyostahili! Donald Trump aliwahi kuwaponda viongozi wa Afrika akisema ....Give them weapons and they will kill themselves instead of fighting their enermies!

Hili tumeliona hata kwa serikali na CCM, wametumia nguvu na gharama kubwa sana za uchaguzi wakati kumbe mkononi walishaandaa njia ya mkato ya kushinda uchaguzi kwa asilimia zote! Wastage of time and resources!

After all; jesh la polis wanapaswa kufahamu kuwa kuitisha maandamano sio kosa bali kosa ni kuandamana bila kibali. Pia kosa la kuandamana bila kibali adhabu yake sio kupigwa mabomu wala au kudhuriwa kwa namna yoyote bali, adhabu yake ni kushtakiwa na mahakama ndio itowe uamuzi kama wahusika wana hatia au lah!

Kinyume cha hapo ni kujichukulia sheria mkononi huku jeshi lenyewe likijuwa fika kuwa katika suala zima la wananchi kuandamana, jukumu la jeshi sio kutoa kibali cha kuruhusu au kutoruhu maandamano bali ni kutoa ulinzi kwa waandamanaji!
Uko sahihi
 
Kama wananchi wamewakataa, njia rahisi kabisa ya kuonesha hilo ilitakiwa iwe kuwaachia wafanye maandamano.

Halafu tungeona wananchi wanavyowakataa.

Kuwanyima haki yao ya kikatiba ya kuandamana kunaonesha serikali ya CCM inaogopa nguvu ya watu watakaowaunga mkono kwenye maandamano.

Hata kama wananchi hawawaungi mkono.
Hivi kweli wananchi wakiamua kuandamana wanaweza kukatazwa?
Na mbona humu mlisema mpo tayari kwa lolote? Iweje sasa mseme polisi wanewakataza?
Sijui ni lini washabiki wa chadema humu wataacha ujinga na ndio wanaokiharibu chama kwa ujingaujinga waliona nao
 
Vipi kuhusu vitisho vya polisi? Maandamano ni halari ki sheria ilimradi yawe ya amani, upande wa pili wako tayari hata kwenye hayo ya amani? Sio kweli wananchi hawataki kuandamana isipokuwa ni hatari kuandamana.
Lakini si mlisema hamtaogopa vitisho?
Nadhani lissu ameshaanza kuwaelewa nyie, mwanzo mlisema hakuna kura itaibiwa safari hii, mkasema wakala asipoapishwa hicho kituo hakutapigwa kura,
Ila hakuna hata moja katika hilo lililofanyika
 
Mkuu maumivu ya serikali dhalimu ya jiwe nayajua vyema, huku nimekuja kwa muda tu, hata mwezi sijafikisha na soon narudi huko. So maovu ya jiwe nayajua vizuri sana. Je unajua hata mikataba ya madini mpaka leo ni siri ya Jiwe? Achilia mbali manunuzi ya ndege, sidhani kama hata wewe unajua alinunua kwa fedha kiasi gani. Au na wewe ndiyo wale wanaosema kuwa hawataki kujua bei wala faida ya hizo ndege, wao wanataka kuziona zinaruka tu
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Wewe kweli kiazi yani
Mkuu maumivu ya serikali dhalimu ya jiwe nayajua vyema, huku nimekuja kwa muda tu, hata mwezi sijafikisha na soon narudi huko. So maovu ya jiwe nayajua vizuri sana. Je unajua hata mikataba ya madini mpaka leo ni siri ya Jiwe? Achilia mbali manunuzi ya ndege, sidhani kama hata wewe unajua alinunua kwa fedha kiasi gani. Au na wewe ndiyo wale wanaosema kuwa hawataki kujua bei wala faida ya hizo ndege, wao wanataka kuziona zinaruka tu
 
Wananchi wamewakataa kabisa , wanataka kuichafua njia nyingine kuichafua nchi, asiyekubali kushindwa si mshindani wanadhani wananchikuwa hawajawaelewa ndio hata maandamano wananchi hawataki.

Kwani nchi yetu yetu inaoongozwa kijeshi? Ni hivi uchaguzi huu Ni ushenzi kama ushenzi mwingine, na kama Ni nchi kuchafuka tayari Ni chafu, labda tuongelee kuisafisha.
 
Back
Top Bottom