Polisi wavamia CHADEMA Karatu ni muendelezo wa siasa zilizopitwa na wakati

Mimi naona no sawa tu kuendelea kubinya democracy kwa sababu anayebinya sasa hivi siyo yule ngosha. Kazi iendelee tu.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Acha ubishi wewe, Tanpol ndio jina wanalotumia kwenye mitandao ya kijamii kama twitter . FB na instagram
Hapa Makete, njia panda Tukuyu Gulioni, na viunga na vijiji vyote across the vast countryside of this nation WATANZANIA TULIO WENGI tunatumia simu za tochi!

Hatuna TWITTER
Hatuna INSTAGRAM
Hatuna VOCHA za kufuatilia majina ya taasisi kwa vifupi vya mitandao ya kijamii.

Wapinzani, get that across your heavy heads!

Unapotuambia TANPOL wamekuvamia, who the hell is TANPOL ? Eti ndio jina wanalotumia Twitter! Hatuko Twitter. Watanzania hatukuelewi!

Wapinzani, tighten up!
 
Acheni ujinga!!

Magu kafa yupo mama sasa Mzee anaingiaje hapo!

Au Magu huko kaburini aliko anawaagiza hao polisi

Tumia akili mtoa mada, kama mnashindwa au mnaogopa kumsema mama elewekeni aisee
Hii tabia ya kumsema mwendazake ni tabia ya hovyo sana.
 
Tuweke masihara pembeni, toka John arudishe usajili kwa Sir God vyama vya upinzani na wafanyabiashara wamepata likizo ya mapumziko kwa miezi miwili sasa.

Yule mzee alikua katili, ilikua hazipiti siku mbili bila mwanachama wa upinzani kung'olewa meno, kuswekwa ndani, kuvamiwa na kutekwa. Wafanyabiashara nao hazipiti siku tatu kuchezea kesi za uhujumu uchumi na kukwepa kodi.

Ilikua ndani ya siku 5 taifa linapokea mpaka Breaking News 400, hujui uanze kusoma breaking news ipi na uache ipi. Roho zilikua juu juu kila dakika. Hata uamke saa 8 usiku unakutana na breaking news.

Mungu asante kwa hilo. Taifa limepumua.

Wewe mpumbavu sana. Yeye alikuwa Polisi. Unaandika ujinga tu. Ana Familia yake. So at least ukiandika andika jambo la msingi. Unamfanya Rais kama alikuwa hana kazi Hivi. Awaze Nani wa kumshika how. Madaraka yake Ni makubwa sana. Kama angekuwa na nia mbaya hata wewe ungejulikana na kupotea huko unakosema. Hivi wewe umpate Rais dikteta huyu Melo angeacha kukutaja. Wanashika kwanza familia wala sio wewe mwenyewe. Ndo utajua. Huwa mnaongea bila hata busara wala kufikiria.

Hivi mtu kama mdude Sijui dubwana. Matusi Yale na lugha zile umesoma. Ule ndo uhuru wa habari au wa kujieleza. Sasa unahitaji Rais ndo ashikwe. Hata mimi ningeamuru akamatwe. Hata baba yake Mzazi kama Ana hekima angemkamata. Huwa Sijui mnauza akili au.
 
Wamevamiwa na Tanpol

Tanpol ndio nini ????

Fomu za wagombea wetu zilikuwa zinachanwa na Tume ya Uchaguzi. You can now see part of the reason why. Sehemu za kujaza jina la chama tulikuwa tunaandika MOVEMENT FOR CHANGE!

Hatujifunzi.
Jf unafanya nn hapa kama Tanpol hujui usaidiwe (Tanpol_ Tanzania police)

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom