Polisi waua watu wawili wasio na hatia, watoa maelezo

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Polisi mkoani Morogoro wameua watu wawili wasio na hatia walipokuwa wakiwatawanya jana.
Kamanda wa polisi mkoa huo Ulirch Matei amesema walifyatua risasi hewani ili kuwatawanya wananchi waliokuwa wakipinga kukamatwa kwa watu wawili waliokuwa wakituhumiwa kwa uhalifu ila risasi ziliposhuka zikauwa wawili na kujeruhi mmoja

 
Mkuu anapenda sana majeshi yetu....
kwa hiyo yataishia kama yalivyo,mwananchi kanyanganywa silaha! (jiwe)
 
Haiwi majivu bali kinabaki kichuma kiitwacho risasi..@Mkwepa Kodi.
 
Watanzania wanatabia ya kijinga sana kwanini wazuie waharifu kukamatwa wamefanya ujinga wamekufa kijinga.
Hata wewe huna uhakika na hauna taatifa stahiki za tukio hilo hivyo si vyema kuanza kulaumu watanzania kama huyajui majeshi ya nchi yako.watanzania ni watu wapole sana tena sana fanya utafiti utalijua hilo halafu tafuta uhakika je ni wahalifu kweli??
 
Hahahahahahahahahahahah....., walaaaahi huu uongo umezidi.., yaaaani upige risasi hewani then iishe nguvu ya kwenda juu, ianze kurudi chini halafu iuwe mtu, labda kama imepiga kichwani, otherwise no!
Risasi inaporushwa juu, ikaishiwa nguvu wakati ikidondoka hata ingefikia kichwani mwa mtu haiwezi kuleta madhara yoyote.
Kichwa cha risasi hakina uzito wa kuua mtu kikimdondokea baada ya kuishiwa nguvu. Pia uzito wake wa awali huwa umepungua zaidi kutokana na burst, pia pressure inayokumbana nayo katika atimosphere.
 
Back
Top Bottom