Polisi waua watu wawili Morogoro eneo la Kisaki

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Jeshi la polisi limeuwa watu wawili katika eneo la Lisaki.

Mauaji hayo yametokea usiku wa Jana ambapo askari hao walifika eneo hilo usiku kuwakamata watuhumiwa wa makosa makubwa ( ambayo hayajatajwa)

Ndipo wananchi wakaziba njia wakidhani ni majambazi kwani walipofika hawakutoa taarifa katika serikali za mtaa.

Ndipo kuwatawanya wananchi hao wakatumia siraha za moto na kusababisha vifo vya watu hao.
 
Morogoro mnajitahidi kukwamisha polisi kutenda majukumu yao. Nakumbuka bodaboda kipindi flani nao waliwathibiti polisi kwa sababu hizi hizi.
 
Kamanda anasema walirusha risasi juu...takribani 22.These thugs are just murders!
 
Wamefanya makusudi, hawa watu kwa kweli sio binadamu kabisa
 
Hata hivyo "Mtakatifu" alisharuhusu askari akiwa na silaha wasikubali kunynang'anywa,wazitumie silaha hizo kudhibiti........
 
Tangu lini askari polisi wakatawanya raia tena wasio na silaha kwa risasi za moto.
Afu mkuu wao anaongea tu bila haya mbele ya Kamera et risasi 22.
Jeshi la polisi linahitaji maombi hili si bure...
 
Jeshi la polisi linafanya kazi nzuri sana!! Labda tu wananchi waache vihele hele ....
 
588917d60e6da9a2688e6c5594de6715.jpg

953342022b63dd03f1d9041de57fb094.jpg

574d852d8b459c6984543bfdc4a8fc44.jpg
 
Tangu lini askari polisi wakatawanya raia tena wasio na silaha kwa risasi za moto.
Afu mkuu wao anaongea tu bila haya mbele ya Kamera et risasi 22.
Jeshi la polisi linahitaji maombi hili si bure...
Cha kujiuliza risasi ya kwanza inapigwa mpaka ya 12 bado umekodoa macho, unasubiri nini kupiga picha au??
 
Morogoro mnajitahidi kukwamisha polisi kutenda majukumu yao. Nakumbuka bodaboda kipindi flani nao waliwathibiti polisi kwa sababu hizi hizi.
Ahaa hivyo ni kawaida yao, nadhani haitasikika tena maana wamejua sasa kwamba wenzao hawatanii wanapiga kweli.
 
Machale yananicheza kama hao watu wenye makosa makubwa hawakuwa magaidi waliojificha msikitini basi naacha kubet kuanzia leo
 
Back
Top Bottom