Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Jeshi la polisi limeuwa watu wawili katika eneo la Lisaki.
Mauaji hayo yametokea usiku wa Jana ambapo askari hao walifika eneo hilo usiku kuwakamata watuhumiwa wa makosa makubwa ( ambayo hayajatajwa)
Ndipo wananchi wakaziba njia wakidhani ni majambazi kwani walipofika hawakutoa taarifa katika serikali za mtaa.
Ndipo kuwatawanya wananchi hao wakatumia siraha za moto na kusababisha vifo vya watu hao.