Polisi waua tena; Risasi, mabomu vyarindima Bukombe; Polisi wampiga risasi kijana

Uamsho tena?

hahahaha.ingalikua ni zanzibar hapo.wanajf wengi wangaliwaita watu uamsho.na wangalikuwalaani wananchi pia wangaliwatukuza polisi na kuwataka wawauwe uamsho:wananchi:zaidi na zaidi.mimi nazani ni muda wakuwaua pia hawa askari kama wanavotumwa nakutuua.
 
Kama hii taarifa ni ya kweli basi hapo askari Manase hana makosa,kosa ni la raia kujichukulia mikononi ingawa inaweza kuchochewa na jeshi la polisi kuwaachia watuhumiwa baada ya kupokea hongo!
 
hii mada kuichangia inahitaji uwe na moyo kama wa mwenda wazimu,mana pande zote mbili zinamapungufu katika hili,si polisi wala raia wote hapo wamebugi step.
Hicho ulichokitoa pia ni mchango kwa hiyo una moyo wa mwendawazimu? unatakiwa ujue mwendawazimu tatizo lake lipo kwenye ubongo lakini moyo ni safi.
 
ngonani Ulikuwa eneo la tukio? Je, wewe ni askari au raia wa kawaida? Je, tutakuaminije?
Nilikuwa maeneo hayo hayo,mimi ni raia wa kawaida tu.Kama uamini nachokisema mpigie simu mtu yeyote aliye maeneo ya Bukombe utapata same story,I am dissapointed kwamba huyu askari yuko detained hadi sasa
 
Last edited by a moderator:
Si wameshaona ni kawaida hata ukiua hakuna kuchukuliwa hatua Ma RPC wanapandishwa vyeo kwa kazi hizo.
 
Nilikuwa maeneo hayo hayo,mimi ni raia wa kawaida tu.Kama uamini nachokisema mpigie simu mtu yeyote aliye maeneo ya Bukombe utapata same story,I am dissapointed kwamba huyu askari yuko detained hadi sasa

Unamaanisha?taratibu na kithungu ndugu
 
Hello jf
members !
My condolence to all tanzanzanians kwani aliyeuwawa ni raia asiye na hatia.
Polisi "tafuteni majambazi na si kuua raia"
 
hii mada kuichangia inahitaji uwe na moyo kama wa mwenda wazimu,mana pande zote mbili zinamapungufu katika hili,si polisi wala raia wote hapo wamebugi step.

nia yako ni kutetea polisi so unatafuta jinsi ya kuwalaumu wananchi.Typical ccm methods,kama Pinda akifunga bunge lililopita kuwalaumu wananchi na chadema kwa mauaji ya Daudi Mwangosi tutegemee nini kutoka kwa ccm online.
 
Back
Top Bottom