Tume iundwe kuchunguza.
kama ulikuwepo .askari huyo atakuwa mgeni .masai dili sanasitetei uovu ila jammi ya kimaasai imenyanyasa sana watu.
Askari aliyempiga risasi naamini ni mgeni kwani hawa askari wenyeji hawawezi kufanya hivyo kwani kwao kumkamata mmasai ni mtaji tosha,wasingediriki kumuua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna wakati jamii hii ilimwita mkuu wa wilaya "shemeji".they know how to penetrate the system,wana solidarity wakiwa na shauri lolote polisi au mahakamani.
Leo mihogo na mbaazi ni tabu kwani ukivuna mahindi wanaingiza mifugo bila kujali kuwa kuna mazao mengine.
Postgraduate student wa sheria waje wafanye tafti huku,ni mashauri mangapi yamefikishwa polisi,mangapi yamekwenda mahakamani,mangapi yamehukumiwa na kwa kutumia vifungu gani?
Wamemuua mchungaji wa kimasai,ndugu zake wamedai hana hatia yoyote ,wamegoma kuzika mpaka aliyemuua akamatwe! RPC Morogoro adai aliyeuawa alikuwa mwizi sugu wa Ng'ombe.Source ITV taarifa.
acha ujinga. Kwanza kiingereza hujui, tabu 2pu. Lakn mbona polisi wakiuawa na nyie raia mbona hamsemi? Juzi Mbeya polisi si ameuawa na mwingine yupo mahututi hospital?! Kwa taarifa yako toka mwaka huu uanze tayari polisi zaidi ya 6 wameshauawa na raia lakn hatusikii kelele zenu za kupinga muaji hayo licha ya kuwepo haya NGO'S km LHRC, n.k. Acha nao walipize...When this police mission will reach to an end!! I think Tanzanians we are tired about this events of police to kill innocent people..Despite of shouts from various human rights groups and normal Tanzanians yet nothing happen.