Polisi waua tena raia' safari hii kilosa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi waua tena raia' safari hii kilosa!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by NDOFU, Sep 23, 2011.

 1. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wamemuua mchungaji wa kimasai,ndugu zake wamedai hana hatia yoyote ,wamegoma kuzika mpaka aliyemuua akamatwe! RPC Morogoro adai aliyeuawa alikuwa mwizi sugu wa Ng'ombe.Source ITV taarifa.
   
 2. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,586
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Sipendi kushangilia uvunjifu wa amani lakini hili la Kilosa ni matokeo ya kufuga maradhi.
  Wafugaji wa jamii ya kimaasai wamewanyanyasa sana wakazi wa kilosa kwa miaka mingi na kila wanapofanya makosa hutumia rushwa.
  Niwakumbushe kuwa mwaka 2000 watu 33 waliuawa na hakuna mfugaji aliyefungwa.
  Kwa kutumia rushwa wamewezesha uandikishwaji wa vijiji vipya bila kujali wakzi wa asili wa hapa.Vijiji kama Mabwegere,Kiduhi,Mbwade vyote vimeanzishwa kwamisisngi ya rushwa.
  Leo wanalalamika kwa kuuliwa mtu mmoja na ambaye alikimbia askari lakini wamesahau kuwa maeneo kama kimamba si chini ya watu watatu ambao wameuawa na wafugaji katika miaka miwili iliyopita.
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hapo unamaanisha kwa vile waliua na yeye awawe pasipokuafuata sheria?
   
 4. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Serikali hii imetega mabomu kibao!
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Niliiona hii taarifa na kwamba jamaa alimpiga risasi kwa nyuma mgongoni wakati jamaa anakimbia!
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Tume iundwe kuchunguza.
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  ..When this police mission will reach to an end!! I think Tanzanians we are tired about this events of police to kill innocent people..Despite of shouts from various human rights groups and normal Tanzanians yet nothing happen.
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  yarabi mola wangu
   
 9. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Tume ngapi zitaundwa kwanini polisi wasichunguze?
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  huo ndio utawala wa sheria unaohubiriwa na ccm, come on!!!! juweni kuwa wanaojitoa muhanga si wajinga, mwanuka rushwa rushwa, damu za watu aghk mrzzz!!
   
 11. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,586
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Sitetei uovu ila jammi ya kimaasai imenyanyasa sana watu.
  Askari aliyempiga risasi naamini ni mgeni kwani hawa askari wenyeji hawawezi kufanya hivyo kwani kwao kumkamata mmasai ni mtaji tosha,wasingediriki kumuua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  Kuna wakati jamii hii ilimwita mkuu wa wilaya "Shemeji".They know how to penetrate the system,wana solidarity wakiwa na shauri lolote polisi au mahakamani.
  Leo mihogo na mbaazi ni tabu kwani ukivuna mahindi wanaingiza mifugo bila kujali kuwa kuna mazao mengine.
  Postgraduate student wa sheria waje wafanye tafti huku,ni mashauri mangapi yamefikishwa polisi,mangapi yamekwenda mahakamani,mangapi yamehukumiwa na kwa kutumia vifungu gani?
   
 12. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kama ulikuwepo .askari huyo atakuwa mgeni .masai dili sana
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,273
  Likes Received: 22,030
  Trophy Points: 280
  zis kantre bwana..... Hivi Haijui thamani ya watu wake? Au wanatumaliza ili wabaki wenyewe?
   
 14. m

  mataka JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  acha ujinga. Kwanza kiingereza hujui, tabu 2pu. Lakn mbona polisi wakiuawa na nyie raia mbona hamsemi? Juzi Mbeya polisi si ameuawa na mwingine yupo mahututi hospital?! Kwa taarifa yako toka mwaka huu uanze tayari polisi zaidi ya 6 wameshauawa na raia lakn hatusikii kelele zenu za kupinga muaji hayo licha ya kuwepo haya NGO'S km LHRC, n.k. Acha nao walipize.
   
Loading...