Polisi waua mmoja kwa risasi Mbeya

Nakumbuka vizuri sana baada ya Kikwete kuhadaa umma uliompa kura japo usalama ulilaumiwa kwa kuchakachua kwa ushirikiano na wana Chama Cha Majambazi,aliwaomba radhi mabalozi kwa kusema hayatatokea tena yale ya Arusha,Leo hii Mwekezaji tayari kasababisha wengine watatu Mbeya kufariki.Je sio kwamba kuna ajenda za kichama kuwakomoa wananchi ambao waliisaliti CCM Oct.2010?TUWE MAKINI SANA!!
 
Jamani,mimi nina wasiwasi na jeshi letu la polic. Juzi kati prezidaa aliahidi tatizo la A Town kutojirudia. Machungu na majonzi vikiwa bado vimetanda-Ubaruku tena. Njama,njama,njama-ili wananch waichukie serekali yao. Hapana kwa gesh la porisi. No pliiiziiiii
 
What's was Reasons za Kuchoma Roli? Tupe Details...
ma-roli ya uzito mkubwa yalizuiliwa kupita barabara husika hivyo wakazi wa huko wakabaki waki hangaika na mpunga wao wasijue watausafirisisha je lkn kati hari ya kurha ngaza h4 roli husika liliruhusiwa, ndipo wananchi walipo ungana kulizuia ndipo polisi walipo fika eneo husika nakuanza kutumia maguvu kama kawaida yao hari iliyopelekea yote hayo yaliyo tokea ..imeipata ndani ya jf
 
Sasa, JK mbona hata wiki mbili hazijaisha wengine wawili wafa huko ubaruku, ila mwisho wake unafika , kumbuka 2015 si mbali hata kidogo
 
Jamani mwisho wa huu udhalimu ni mbaya sana.
Nasikia harufu ya damu.
Nakumbuka shairi la ndugu. Andanenga, 'samaki wacharuka' ipo siku wananchi watacharuka na hapo hakutokuwa na polisi wa kuweza kuzuia nguvu ya uma.
 
Back
Top Bottom