Polisi waua mmoja kwa risasi Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi waua mmoja kwa risasi Mbeya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fangfangjt, Jan 13, 2011.

 1. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  Wananchi Mbarari Mbeya wamechoma moto lori la mafuta na kituo cha mafuta. Polisi waingilia kati, mwananchi moja apigwa risasi na kufa
  SOURCERADIO 1
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kisa ni nini? mpaka waamue kuchoma moto lori na kituo cha mafuta au ubabe wa ccm kama kawaida yako...
   
 3. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  kutoka breaking news ya redio one

  wananchi mbarari, Mbeya wamechoma moto lori la mafuta na kituo cha mafuta,polisi waingilia kati, mwananchi mmoja apigwa risasi na kufa
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Why?, When?, How?
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Lori la mafuta na kituo cha mafuta ni private property kwa hali yeyote ile waliochoma moto ni wahalifu waliokosa mlo ,hongera polisi kwa kuwakurupusha na kufanikiwa kumsimika umaiti mmoja wao.
   
 6. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli Police imeshindwa kazi. Kwa nini wao kila siku kuua tu watu wasio na silaha kama wao? Waende Somalia wakapambane na wenye silaha kama wao. ebo!
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wapuuzi sana polisi...Hivi kazi ya polisi bado haijawa stipulated vizuri nini kwenye sheria na masharti yao ya kazi...!
  Au ndio hawa polisi-mtoto wa mkwe wangu..mwajirini jamani.:smile-big:
   
 8. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fangfangjt tupe habari zaidi sababu ya wananchi kuchoma moto lori na kituo cha mafuta. Na kwanini polisi waue raia? Ni Mbarali sehemu gani ?Rujewa, Igawa, Chimala, Igurusi au wapi? More information is needed
   
 9. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nimeisikiliza ktk wapo Radio, inadaiwa kuwa kisa ni double std. Yaani ktk barabara ya Ubaruku malori yenye uzito wa tani 10 yamezuiwa kupita, lakini inasemekana mwenye petro station yeye amekuwa aikpitisha magari ya tani 15 bila kuzuiliwa, wananchi walipotaka kujua kulikoni, akabadili mwelekeo, anayapitisha usiku kwa kuzima taa. Ya mwizi arobaini, leo wananchi ili hali malori ya watu wengine yakiwa yamezuia wakakuta la kwakwe 1 likiteremsha mafuta na uzito wake ni zaidi ya tani 10. Hapo ndipo vurugu zilipo anza na wakaamua kuchoma hilo lori na kisima chake cha mafuta, kwa mujibu wa mtoa taarifa, polisi walifika ili kudhibit hali, wamemtwanga mwanachi mmoja risasi ya kichwa na kufa papo hapo, na mwingine pia kauwa. Wananchi wakacharuka zaidi na inasemekana polisi wamezidiwa nguvu wakatoweka na kuacha kisima pamoja na hilo gari vikiteketea, moto umeshika nyumba za jirani kama mbili na zenyewe zinawaka moto. Taarifa zaidi itarushwa na hiyo radio wapo ifikapo saa 1 jioni, waloko Mbeya ebu mtujuze kinachoendelea, ni nani haliweka hicho kizuizi na ni kwanini ameendekeza hii double stad, wabongo NO lakini mburusi (mwarabu) YES
   
 10. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Crap
   
 11. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ngoja nitafute Job Description ya Police nione kama kuna sehemu wanaambiwa kuua raia wasio na silaha
   
 12. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndg zangu wana JF,
  Nimetaarifiwa na mdau mmoja kutoka Rujewa Wilayani Mbarali kwamba umetokea ugomvi mkubwa wa mipaka ya mashamba ya mpunga kwenye maeneo ya Ubaruku kati ya wananchi waliopokonywa mashamba yao na mwekezaji. Nakumbuka Bw. Maggid alishaandika makala yake moja kuhusu suala hilo na kuonya serikali ichukue hatua haraka iwezekanavyo. Lakini kama kawaida ya serikali yetu inaonekana makala hiyo ilipuuzwa. Sasa leo ugomvi mkubwa umetokea. Polisi wameingilia kati na mpaka sasa wananchi 3 tayari wamepoteza maisha. Muda si mrefu DEFENDER 12 zikiwa na askali polisi kutoka Jijini Mbeya zimewasili Ubaruku tayari kukabiliana na wananchi wenye hasira kali. Tafadhali wadau mliopo huko mtupatie taarifa zaidi.
   
 13. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  asante kutujuvya hizi ni habari mbaya na zinazidi kuchafua hali ya hewa Tanzania.

  Kama unavyojua Serikali yetu ni ZIMAMOTO mpaka moto uwake ndio wanakimbilia kuzima.

  Hapa sina comment zaidi inauma sana kuona watu wasio na hatia wakipoteza maisha yao huku wengine wakila kuku na viyoyozi.
   
 14. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ni kweli polisi wameua watu watatu kwenye ghasia huko Ubaruku lakini chanzo cha ugomvi si mpaka wa shamba bali kuzuiwa kwa malori ya zaidi ya tani 8 kupita kwenye barabara hiyo kwenda kuchukua mpunga wa wakulima (hivyo wananchi wameshindwa kuuza mpunga wao) wakati mfanyabiashara wa mafuta ameruhusiwa kupitisha la lori lenye uzito zaidi ya huo kupeleka mafuta (kama kawaida wawekezaji kwanza wananchi baadae - inauma) huko Rujewa.

  Wananchi waliamua kulizuia lori hilo ndipo polisi wakaja na kuanza kuwatawanya wananchi kwa kutumia mabomu ya machozi na kama kawaida yao wakawapiga risasi za moto na kuua watatu kwa uchache. Wananchi wakaamua kuchoma lori moto na kuunguza kituo cha mafuta pia.Nasikia vurugu zinaendelea na polisi wameomba msaada kutoka Mbeya baada ya kuzidiwa nguvu na wananchi.

  Tangu hotuba ya kikwete ya kuuaga mwaka na kuonya juu ya vurugu, askari polisi wamekuwa hawasiti kuwasha risasi za moto kwa wananchi, jamaa ameamua kutoa kafara wananchi wake ( kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia)
   
 15. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukiona Polisi linashindwa kulinda wananchi wake na hatimaye wanageuka kuwa wauaji wa raia wasio na hatia ujue mfumo uliopo madarakani una enda kudondoka
   
 16. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa mauaji haya kila kona ya nchi, mijini na mashambani, Watanzania hatuko salama tena!!!!!!!!!!1 Tuandamane nchi nzima mpaka siku serikali dhalimu inaondoka madarakani.

  Vinginevyo, kila mtu na bunduki kujilinda nchi nzima!!!!!!!!!!!!!1
   
 17. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa marekebisho ya habari. Tafadhali endelea kutujuza.
   
 18. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bunduki kwa bunduki, msiba kwa msiba na sasa wananchi taratibu tuelekeeni maeneo ya Chalinze, Bagamoyo, Goba, Msata na vijiji vya jirani ili kama ni kulia basi vijiji vyote tuwe tunajua uchungu wa kuuwaua ndugu ukoje.
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  yaani nimecho..hawa miku@@@ dawa yao nikuanza kujifunza kutengeneza mabom ili ikitoke ujinga kama huu raia 2 polisi 1 kama polisi ikishindika basi familia zao hatuwe kuvumilia huu ujinga..yaani polisi wetu hawana jia nyingine ila ni kuua
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  I hope mkuu wa operation atakuja tena na tamko kali. Safari hii sijui atawarudi walima mpunga wa mbarali!!! Kweli asiye na macho haambiwi ona. Tanzania imebadilika tusifikiri kama tuko karne iliyopita.
   
Loading...