Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,843
- 95,774
Inasikitisha sanaMost likely ni drugs tu hakuna jipya.
Inasikitisha sanaMost likely ni drugs tu hakuna jipya.
Na Mimi nimekuwa surprised .Mtu hawezi kumuua mama ake mzazi Kwa Sababu hiyo hata kama muuaji is a crack fiend...Jamani
Unaongelea kesi ambazo ni political oriented. Nadhani tupmgelee uwepo wa wapelelezi wenye weledi na utaalamu.
Hata hao unaotaja wanajua kabisa pale wanachofanya sio ambavyo kanuni na miongozo ya kazi yao inavyowataka.
Turudi kwenye mada ya uwepo wa wapelelezi wenye uwezo wa kufanya upelelezi kama huo wa marekani uliopelekea huyo mtuhumiwa kukamatwa maana waliomkamata ni polisi wetu baada ya kushirikiana na taarifa zilizotoka marekani.
Hata hapa wenyewe ni anajua ukiua utakamatwa Ila ukiiba nao wataiba ulichoiba sababu ya kipato na kukosa weledi kwa wengi wao.
Kwahiyo hawafanyi kazi hadi mtu utoe hela??Ni ukweli...TZ kuna wapelelezi wazuri huwezi amini
Angalia kesi km za akina erasto msuya..
Mbona wauaji walipatkana?
Ukiwa na kesi weka pesa mezani uone,
Hakuna kitu kinawashinda wapelelezi wetu
Police wa Tanzania hakuna kituMkuu wakati mwingine msipende kutoa tu sifa ambazo hazistahili, ni kuwa huyu binti alikuwa anawaambia wenzie hapa Bongo kuwa kakimbia marekani baada ya kumuua mama yake, na ndipo hao wenzake wakatoa ripoti polisi wa Tanzania ambao ndio waliokuwa wa kwanza kumkamata na kutoa ripoti ubalozi wa Marekani ambao walifuatilia hilo suala huko Marekani,kwa hiyo hapa sifa ni kwa jeshi letu na si jeshi la Marekani.
Kwakweli, alikuwa ana uwezo wa kuoa/kuolewa bila mama ake kukubali, hii sababu ni nyepesi sanaNa Mimi nimekuwa surprised .Mtu hawezi kumuua mama ake mzazi Kwa Sababu hiyo hata kama muuaji is a crack fiend...
Angeweza ku move on Na mipango yake
Yasemekana hvyoo!sasa yaweza kua kweli au sio kweli maana mtu wenyewe anaonekana teja pia!alivokua anawasimulia wenzake nafikri ndo wamesema hvyo!Ya Kweli hayo?
Acha tu ni huzuni sana!kuzaa sio kupata!then she is drug addict so possible alifanya hilo tendo akiwa arostoo!Jamani
Sifa ni kwa majiraniMkuu wakati mwingine msipende kutoa tu sifa ambazo hazistahili, ni kuwa huyu binti alikuwa anawaambia wenzie hapa Bongo kuwa kakimbia marekani baada ya kumuua mama yake, na ndipo hao wenzake wakatoa ripoti polisi wa Tanzania ambao ndio waliokuwa wa kwanza kumkamata na kutoa ripoti ubalozi wa Marekani ambao walifuatilia hilo suala huko Marekani,kwa hiyo hapa sifa ni kwa jeshi letu na si jeshi la Marekani.
... kama Kingai na timu yake walivyowadaka makomandoo Rau Madukani kwenye kibanda cha mama muuza mbege! Tuko vizuri tutembee vifua mbele kwa mbele.Hata kwetu inawezekana tuna wapelelezi wazuri sana tatizo ni budget ya upelelezi ni ndogo unakuta mtu anatakiwa aaafiri, apewe vifaa nk Ila anafanya kazi manually tu na kwa ku-guess.
Inauma sana. Unasucrifice kuishi USA wanao wasome wapate future nzuri then msichana anaishia kuwa teja. Too sad. R.I.P Catherine.cocaine powder
Mkuu wakati mwingine msipende kutoa tu sifa ambazo hazistahili, ni kuwa huyu binti alikuwa anawaambia wenzie hapa Bongo kuwa kakimbia marekani baada ya kumuua mama yake, na ndipo hao wenzake wakatoa ripoti polisi wa Tanzania ambao ndio waliokuwa wa kwanza kumkamata na kutoa ripoti ubalozi wa Marekani ambao walifuatilia hilo suala huko Marekani,kwa hiyo hapa sifa ni kwa jeshi letu na si jeshi la Marekani.
HahahahSirro au yule msemaji wa tanpol hajatia neno hapo?
Naona hii sikukuu unatimia muda wa kustarehe kubishana wacha Nile mbuzi na bia karibu migombani... kama Kingai na timu yake walivyowadaka makomandoo Rau Madukani kwenye kibanda cha mama muuza mbege! Tuko vizuri tutembee vifua mbele kwa mbele.
Hii ni hatari sana wenyewe wanayaita madawa haya recreational drugsYani nimeisikiliza sauti ya huyo Dada probably ni mlevi wa madawa au mvutaji sana.sikiliza nawewe utaniambia.
Recreational drugs (cocaine, marijuana, or methamphetamine). That are used without medical justification.
Drug mbaya sanaAcha tu ni huzuni sana!kuzaa sio kupata!then she is drug addict so possible alifanya hilo tendo akiwa arostoo!
Anaonekana anatumia drugsKweli huwezi kuamini kabisa Wylumva Ngongoseke.
Feeling your Love | Download Audio By Wylumva x Lorenzo
Find and Download this new Music song by Wylumva x Lorenzo – Feeling your Love together with all latest music audio and videos 2021 here @bongocd.
KummmmkYasemekana mama mtu alimgomea mwanawe kuolewa na mwanamke mweziwe ndo binti akamchoma kisu mama ake na akakimbilia Bongo!