Polisi wasambaratisha kikao cha Kamati Kuu ya NCCR-Mageuzi

Taarifa ya Edward Simbeye ambae ni Mkuu wa Idara ya Uenezi wa chama hicho imesema polisi wamedai ni marufuku kwa vyama kufanya vikao vyovyote bila kibali maalum toka polisi.

" Polisi wenye Silaha nzito na Mabomu ya machozi gari 3 zimezingira Ukumbi uliokuwa ufanyike kikao chetu cha Kamati kuu ya NCCR-MAGEUZI kwamba hakuna kikao chochote cha Siasa kinaruhusiwa kufanyika bila kibali maalumu kutoka jeshi la Polisi.

Wamefunga geti la kuingia na kutokea eneo la Kikao hakuna mtu kuingia ndani ya Kikao." Edward Simbeye
Kazi iendeleeView attachment 1911967View attachment 1911968
Siku watu wakiamua kuitafuta haki yao kwa njia nyingine nchi hizi hakuna atakayesuruhisha
 
Ndugu zetu polisi, ni nini hasa? Kumbukeni haya yote mfanyayo kwa uonevu kila mmoja wenu atawajibika pekeyake. Wala hakutakuwa team km mlivyo sasa, wala mtoa maagizo kwani naye atakuwa hana chochote. Sheria na taratibu zimewekwa kwanini mnafanya mtakavyo? At the same time chama mnachokitumikia kinakanyaga sheria na kufanya wapendavyo. By the way vyama mnavyovionea hata mkasema wawaombe vubali ambavyo si kwa matakwa ya sheria mnawanyima.
 
Vile CCM wanajifanya kuupiga mwingi wakati wameshapitwa na wakati!😁😁😁
AA3bhl.jpg
 
Taarifa ya Edward Simbeye ambae ni Mkuu wa Idara ya Uenezi wa chama hicho imesema polisi wamedai ni marufuku kwa vyama kufanya vikao vyovyote bila kibali maalum toka polisi.

" Polisi wenye Silaha nzito na Mabomu ya machozi gari 3 zimezingira Ukumbi uliokuwa ufanyike kikao chetu cha Kamati kuu ya NCCR-MAGEUZI kwamba hakuna kikao chochote cha Siasa kinaruhusiwa kufanyika bila kibali maalumu kutoka jeshi la Polisi.

Wamefunga geti la kuingia na kutokea eneo la Kikao hakuna mtu kuingia ndani ya Kikao." Edward Simbeye
Kazi iendeleeView attachment 1911967View attachment 1911968

Na kila sababu ya kushangilia vinapotokea vifo vya mapolisi
 
Taarifa ya Edward Simbeye ambae ni Mkuu wa Idara ya Uenezi wa chama hicho imesema polisi wamedai ni marufuku kwa vyama kufanya vikao vyovyote bila kibali maalum toka polisi.

" Polisi wenye Silaha nzito na Mabomu ya machozi gari 3 zimezingira Ukumbi uliokuwa ufanyike kikao chetu cha Kamati kuu ya NCCR-MAGEUZI kwamba hakuna kikao chochote cha Siasa kinaruhusiwa kufanyika bila kibali maalumu kutoka jeshi la Polisi.

Wamefunga geti la kuingia na kutokea eneo la Kikao hakuna mtu kuingia ndani ya Kikao." Edward Simbeye
Kazi iendeleeView attachment 1911967View attachment 1911968
Hii ndiyo intelijensia pekee polisi wa Siro wanayo iweza.
Halafu inaonekana Siro ana pingana sana na Mh. Rais. Maana Mh. Rais karuhusu vikao ila polisi wako against Rais. Mbaya zaidi Mama amekaa kimya kama na yeye anaongozwa na Siro.
 
Wakati wenzenu Wakipambania Haki, Demokrasia, Katiba mpya n.k mlikua kimya......
 
Taarifa ya Edward Simbeye ambae ni Mkuu wa Idara ya Uenezi wa chama hicho imesema polisi wamedai ni marufuku kwa vyama kufanya vikao vyovyote bila kibali maalum toka polisi.

" Polisi wenye Silaha nzito na Mabomu ya machozi gari 3 zimezingira Ukumbi uliokuwa ufanyike kikao chetu cha Kamati kuu ya NCCR-MAGEUZI kwamba hakuna kikao chochote cha Siasa kinaruhusiwa kufanyika bila kibali maalumu kutoka jeshi la Polisi.

Wamefunga geti la kuingia na kutokea eneo la Kikao hakuna mtu kuingia ndani ya Kikao." Edward Simbeye
Kazi iendelee.

View attachment 1911967View attachment 1911968
Kamati Kuu si ina watu wanne tu au sana sana watano? Hawaba Mbunge, hawana Diwani, hawana serkali za mitaa, tunamu.oba Mbatiya tu. Kwa nini kikao kusifanyikue Ofisini kwao?
 
Taarifa ya Edward Simbeye ambae ni Mkuu wa Idara ya Uenezi wa chama hicho imesema polisi wamedai ni marufuku kwa vyama kufanya vikao vyovyote bila kibali maalum toka polisi.

" Polisi wenye Silaha nzito na Mabomu ya machozi gari 3 zimezingira Ukumbi uliokuwa ufanyike kikao chetu cha Kamati kuu ya NCCR-MAGEUZI kwamba hakuna kikao chochote cha Siasa kinaruhusiwa kufanyika bila kibali maalumu kutoka jeshi la Polisi.

Wamefunga geti la kuingia na kutokea eneo la Kikao hakuna mtu kuingia ndani ya Kikao." Edward Simbeye
Kazi iendelee.

View attachment 1911967View attachment 1911968
Magufuli bado anaishi ndani ya dadake.
 
Dar es Salaam.
Kikao cha Kamati Kuu cha NCCR- Mageuzi kilichotarajiwa kufanyika leo Agosti 28, jijini Dar es Salaam kimeshindwa kufanyika baada ya Polisi kufika eneo kinapofanyika kukizuia.

Akizungumza kwa simu leo, Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kulikuwa na viashiria ya kuvunja amani.

Askari waliokuwa wamevaa sare za Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) walivamia eneo la Msimbazi Centre ulipokuwa ufanyike mkutano huo, wakati baadhi ya viongozi wa NCCR Mageuzi walipokuwa wakiingia katika eneo hilo.

Kamanda Muliro amesema Jeshi la Polisi limejipanga katika kila eneo linaloweza kuwa chanzo cha kuibua sintofahamu ya usalama.

“Jukumu letu ni kuimarisha usalama, hatuwezi kusubiri mpaka hali hiyo itokee ndio tuanze kufuatilia,”amesema Kamanda Muliro alipokuwa akifafanua kuhusu zuio la kikao hicho leo Jumamosi kuanzia saa 3:00 katika Ukumbi wa Msimbazi Centre, uliopo wilayani Ilala.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na uongozi wa chama hicho, kikao cha kawaida cha Kikatiba cha Kamati kuu kilitarajiwa kufanyika kujadili ajenda kuu ya ya maambukizi ya virusi vya korona(Uviko-19), kubakwa kwa demokrasia na watawala pamoja na ufukara unaoendelea nchini.

Hata hivyo, baadhi ya askari leo wameonekana kutanda katika ukumbi huo wakizuia kufanyika kwa kikao hicho.

Alipoulizwa huenda agenda zinazojadiliwa na kikao hicho zimechagiza zuio hilo, Kamanda Muliro hakuwa tayari kutoa ufafanuzi akidai kuwa na muda mchache kutokana na kuwa kikaoni.

Chanzo: Mwananchi
 
Kumbe hawakuwa na kibali ,walitakaje kwa mfano?

USSR
Toka lini vikao vya ndani vikahitaji KIBALI cha polisi? Tena siyo kongamano, kikao cha kikatiba, cha Kamati Kuu ya Chama?
Kimsingi, kwa mujibu wa sheria, hata hiyo mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kinachotakiwa siyo KIBALI, bali ni taarifa kwa Polisi ili waandae ulinzi. Sasa Polisi kwa sababu hii ni nchi ya mfumo wa UKANDAMIZAJI WA CHAMA KIMOJA, huwa wanatumia Police Force Act ya enzi za ukoloni, kudai kwamba wana "Taarifa za kiintekijensia" kwamba chama fulani wamekusudia kufanya vurugu. Hapo watapiga marufuku mkutanovhuo. Kutokanacna kukithirivkwa mazuio ya Polisi, imekuwa mazoea sasa kusema mtu anaomba KIBALI cha kufanya mkutano.
Ila kwa hili walilofanya kwa NCCR, inaonekana serikali ya ccm imeona imtumie Hamza kupata kisingizio cha kuzuia hata vikao vya ndani vya kikatiba, ambavyo hata Samia anadai havikatazwi kabisa.
Kwamba hali ya usalama sasa hivi ni tete, hivyo mikutano yooote ya vyama vya siasa imezuiliwa. Kauli hii ni hatarivlakini, maana ni kinyume na kauli ya Rais kwamba "mambo ni shwari". Wanatuma ujumbe kote duniani kwamba Tanzania bado ipo kwenye Taharuki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom