Polisi wasambaratisha kikao cha Kamati Kuu ya NCCR-Mageuzi

Rais Samia awe makini - kuna watu ndani ya CCM wanamfanya afeli mapema.dk ya 30 tu.
 
Hii ndiyo intelijensia pekee polisi wa Siro wanayo iweza.
Halafu inaonekana Siro ana pingana sana na Mh. Rais. Maana Mh. Rais karuhusu vikao ila polisi wako against Rais. Mbaya zaidi Mama amekaa kimya kama na yeye anaongozwa na Siro.
Wanamdharau
 
Na bado watu wanaona hii ni hali ya kawaida kabisa ndani ya nchi yetu hii?

Polisi wanatumwa kuyafanya haya ili itokee vurugu ili CCM na serikali yake wapate pa kutokea.

Katu wasipewe nafasi hiyo.
 
Polisi Nyie Sio Kila Kitu Mtumie Nguvu wakati Mwingine oneni aibu..Haiwezekani kikao cha chama tu mnaenda kuwafanyia hayo.

Ni mambo ya aibu kabisa...Na Ndio mana nyie mnaonekana kuonea tu hao.
 
CCM ndio Taasisi pekee nchini inayofurahia kila Aina ya Uhuru unaopatikana ndani na nje ya katiba.

Unfortunately ndio chama kimepatakaa bogus heads
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom