Polisi Warejesha Operesheni Kibiti Kufuatia Yanayojiri Msumbiji

..hiyo ni operation ya kijeshi.

..eneo la kusini linahitaji pia operation ya kiraia.

..usiporekebisha au kuboresha mazingira ya kiuchumi, kisiasa, na kijamii, matokeo yake ndiyo ghasia tulizozishuhudia huko.
Ugaidi unajua uchumi, siasa na mambo ya kijamii? Tusiazime akili kwa kila changamoto inayotupata
 
Back
Top Bottom