Polisi wapo nje ya Ukumbi wa Bunge wakimsubili Mnyika wamkamate!

Mbona ni jambo la kawaida kwa mpambanaji yoyoye yule kukumbwa na misukuko suko.Wale wasio wapambanaji hawawezi kukumbana na dhoruba kama hizi.Wakaze buti karibia wanakaribia kufika nchi ya ahadi.
ukiona hivi ujue ukombozi wa taifa letu umekaribia
 
Polisi huwa wapo pale siku zote kwa ajili ya kulinda usalama!

kuna taarifa ya kwamba polisi wapo nje ya jengo la bunge kwa ajili ya kumsubili mnyika akitoka bungeni wamkamate.
source: waliopo dodoma
 
Tangu jana mnasema polisi wako nje ya bunge wanamvizia Mnyika.
Ina maana usiku wa kuamkia leo mh. mnyika alilala ndani ya bunge??

 
kunataarifa kwamba wakisha mkamata watamhoji na kumwachia ili kuonyesha kwamba wamemhoji ila kama takataa kutoa ushiirikiano watamuacha tuu lengo lao ni kukamilisha formalities zao. Na kuuonyesha umma kwamba hawajashindwa.
 
Mhhhh! Tutaona na kusoma mengi sana kuanzia sasa kuelekea 2015 yatakayofanywa na hawa Polisi magamba katika kuwanyanyasa na kuwatisha Viongozi wa juu wa CHADEMA, lakini wanasahau kwamba hakuna lililo na mwanzo ambalo likakosa mwisho. Na mwisho wa magamba wala hauko mbali sana.

Alutta Continua! Continua!

:peace::peace::peace:
 
Mmh! yaelekea hao policcm wa dodoma hawamjui Mnyika maana tangu jana tunaambiwa wanamsubiria nje ya bunge wamkamate sasa inamaana mnyika alilala ndani ya bunge hakutoka?? :confused2:

Aliogopa kutoka, alibakia uvunguni kwa meza.
 
Wanaacha kutukamatia wezi waligawana nyumba za serikali, wanahangaika na raia wema.

Kazi kweli kweli hawa polisi chini ya Nchimbi tutaona mengi sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimeomba sana kila mara kuwe na mahali maalumu pa kuwatukana watu wanaotukosea lakini Mods wamekaa kimya, sasa haya ni maisha gani ya kuwindana namna hii? Pumb...fu zao kabisa

Teh teh kweli umechoka!
 
Back
Top Bottom