Polisi wapiga marufuku maandamano ya Chadema

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,058
114,526
Polisi kanda ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano yetu makamanda.Makamanda tulitoa taarifa ya kutaka kuandamana mpaka Ikulu kwenda kutoa madukuduku juu ya hali ya kisiasa na kijamii.Polisi inasema kesho siku ya kazi hivyo italeta msongamano....Nchi imeanza kukosa demokrasia
 
Nenden zenu huko…!! Maandano munayotaka kuyafanya yann? Alafu nyie nyumbu munashida sana…!! Lei unasema nchi imekosa demoktmrasia…?? angalia chama chako kwanza kina demokrasia kweli?
 
Heee! Muandamane muende ikulu? Mwachen raic afanye kaz bwana, labda muandane kwenda monduli kwa lowasa sio huko mnakosea njia
 
Hahahahahahaaah...sasa mnaandamana kwenda ikulu wakati mnadai hamumtambui JPM kama rais wa JMT....kaaaazi kwelikweli
 
Ikulu mnaenda kutia dukuduku kwa nani wakati hamumtambui Magufuli kama rais.
 
Nenden zenu huko…!! Maandano munayotaka kuyafanya yann? Alafu nyie nyumbu munashida sana…!! Lei unasema nchi imekosa demoktmrasia…?? angalia chama chako kwanza kina demokrasia kweli?

We mgagagikoko umeandika nini hapo?

Takataka za Lumumba bhana, hapo katoa mimacho mishipa ya shingo imemsimama utafikiri miba pori, kakasanya vitoto akijitapa kuchangia Jf kwenye uzi wa Kamanda. .!!

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom