Polisi wapewa msaada wa viatu na NGO ya Korea, aibu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wapewa msaada wa viatu na NGO ya Korea, aibu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhosni, May 4, 2011.

 1. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Taarifa ya habari Channel ten

  Ulevi wa serikali kuomba omba umekubuhu sasa Polisi wetu wanatembeza bakuli kuomba mavazi. Imeripotiwa kwamba NGO hiyo toka Korea inayoitwa Ephata imetoa msaada wa viatu jozi 150 kwa polisi wa Zanzibar.

  Kama kawaida Kamanda wa Polisi alioneshwa akishukuru kwa dhati na kuahidi kwamba msaada huo umekuja wakati muafaka ambapo jeshi hilo linakabiliwa na upungufu mkubwa wa vifaa hasa viatu.

  Kisha akatoa wito kwa NGO nyingine za kimataifa kuonesha moyo wa upendo na kusaidia polisi kwani polisi wanafanya kazi kubwa sana ya kulinda usalama wa raia kwa kutumia vifaa duni.
   
 2. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Kama tumeenda kuomba itakuwa ni bonge la aibu kitaifa lakini kama Wakorea wenyewe ndio wametoa msaada bila kuombwa bado siyo aibu.

  Kwani siamini kama kuna dini inayofundisha kuwa ukipewa msaada uukatae. Kama serikali au waziri mhusika kweli aliomba msaada huo kwa maoni yangu itakuwa ni aibu.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Halafu kuna watu wanaiponda sera ya Ujamaa na Kujitegemea......
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  mzee Rais wetu alipokea msaada wa baiskeli na mipira.. sasa unazungumzia "kujitegemea" tena ndugu yangu!!! Let me refresh ur memory..


  [​IMG]
  Rais Kikwete apokea msaada kutoka China

  30/03/2010
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mahojiano na mwakilishi wa shirika la habari la Xinhua nchini Tanzania Bi. Guo Chunju mara baada ya nchi ya China kukabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 51 kwa ajili ya shughuli za maendeleo nchini jijini Dar es salaam.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepanda katika pikpiki aliyokabidhiwa na balozi wa China nchini Tanzania Bwana Liu Xingshen kama sehemu ya msaada wa China kwa sekta mbalimbali za maendeleo nchini. Hafla hiyo ilifanyika ikulu jijini Dar es Salaam. Misaada mingine iliyokabidhiwa katika hafla hiyo ni pamoja na baiskeli, chupa za maji na mashine za kushonea nguo.
  [​IMG]
  Balozi wa China Nchini Tanzania Bwana Liu Xinsheng akimkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete mipira ya soka na vifaa vingine ikiwemo baiskeli, pikipiki, chupa za maji na mashine za kushonea nguo kama mchango wake kwa sekta mbalimbali za maendeleo nchini. Wakati wa hafla hiyo fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Kikwete alitangaza kuwa misaada hiyo itapelekwa kwa waathirika wa mafuriko Kilosa mkoani Morogoro.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia viatu vilivyotolewa msaada na balozi wa China nchini Tanzania Bwana Liu Xinsheng katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Kikwete alitangaza kuwa misaada hiyo itapelekwa kwa waathirika wa mafuriko wilayani Kilosa, Mkoani Morogoro.
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete akiangalia msaada wa baiskeli zilizotolewa na nchi ya China ikiwa ni sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 51 vilivyotolewa na nchi hiyo Ikulu jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni Balozi wa China Liu Xinsheng aliyekabidhi msaada huo.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Kucheka nataka....kusikitika nataka....kulia nataka...nimebaki mdomo wazi huku nashangaa!!!!

  Jamani jamani.....khaaaa! Hebu mcheki yaani kakaa kabisa kwenye hiyo honda (zamani tulikuwa tunaita kila pikipiki honda) akijaribisha kuiendesha.

  Halafu eti hivyo vitu vyote vina thamani ya shilingi milioni 51. WTF!!!

  This is sad!
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia hiyo picha utaona assessment yako yaweza kuwa isiwe sahihi... LOL
   
 7. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  We Mzee wa kijijini, nilikuwa bado sijala chakula cha jioni. Baada ya posti yako ya Matonya nimekosa apetaiti. Siku nyingine tafadhali angalia muda wa kuposti vituvinavyo udhi na kukera hivo

  Ah!
   
 8. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Jamani, kweli mil. 51, mbona hata gharama za itifaki na logistics za kupokea huo ugeni hapo ikulu inaweza kuwa sawa na huo msaada?
  Sasa hii sio biashara kichaa kweli jamani, uswahili mwingine, khaaa!

  Kweli waTZ kazi tunayo.
   
 9. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Aibu nyingine tunazitafuta weyewe, hili Fisadi ni lakuondolewa na nguvu ya Umma halina hata Aibu kubwa zima kazi kuombaomba, Aibu yote Kikwete siunge enda kwa Fisadi Mwanao R1 a.k.a Billioenea akupe msaada.

  Sasa Matonya wa Tanzania ataelekea Cape Town on Friday kuendeleza Bakuli lake kwa JZ au Jacob Zuma a.k.a Mr. Shower
   
 10. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,662
  Likes Received: 5,256
  Trophy Points: 280
  kuna misaada mingine ni yakukejeli, kama co ma2c. Ni sawa na m2 aje ndani kwako eti amekuletea zawadi ya nguo ya ndani ya mkeo, utaifanyaje? Msaada wenyewe unajumla ya mil.51, pesa ilyochangishwa cku moja na watz ktk mechi ya bongo movei na bongo flav kusaidia wahanga wa gongo la mboto. Shame on yu ze Government. Ptuuuuuuu...!!?
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hivi kulikuwa na ulazima wa hii misaada kupokelewa na raisi? Mbona naona kama hata afisa yeyote mwandamizi wa serikali angeweza tu kupokea. Au mimi sijui mambo ya protokali ndo maana nafikiria hivyo?

  Sasa raisi mzima wa nchi unaacha kushughulika na mengine unabaki unapokea misaada ya pikipiki, baiskeli, viatu, ma magozi (mipira)....nachoka kabisa! Au ndo tuseme hana shughuli nyingi kihivyo.

  Aiseeeee.....
   
 12. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  its just HORRIBLE to keep praising such offers!! especially in such sensitive institutions!!
   
 13. annamaria

  annamaria Senior Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  dini imefuata nini hapa?irrelevant..
   
 14. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,086
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Nchi yangu Tanzania nchi ambayo kila kitu ni misaada, viatu vya msalani (msaada), baiskeli (misaada) mipira ya ma lavidavi (misaada) hata vyandarua vya mbu tunapewa na nchi ambayo hata hawaju vyandarua ni nini, Du.

  Tukiambiwa nyerere alikuwa kiongozi bora kwani kipindi kile hatukuwa tunaomba masaada wa baiskeli kwasababu tulikuwa tunatengeneza swala lakini bado watu wanamponda.
   
 15. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
   
 16. T

  Tom JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2011
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama mtumba nguo ya ndani huuzwa TZ, sidhani kama itakua cha ajabu CHINA ikaleta zawadi ama msaada wa mtumba wa nguo za ndani kwa wake zetu ili Raisi JK akapokee - huku akipelekwa na msafara wa RAISI weneye msururu wa ma - VX. Hamna cha aibu TZ, kwa miaka 50 CCM walishatufundisha kutokua na uso wa aibu.
  Msaada wa pea mia hamsini ni kitu kikubwa kwa serikali kama yetu ambayo hata haijui wanafanaya nini zaidi ya kushinda uchaguzi na kula starehe. Misaada midogo midogo kama hiyo inawezekana pahala pengi, hata China ama Korea pia, lakini huko kwa wenzetu si mafukara hivyo si aibu.
   
 17. T

  Tom JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2011
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siamini kama JK pia anapenda kufanya hivyo lakini bila kupokelewa na RAISI, WACHINA wasingekubali, vitu vingekaa tu. Mimi naona wachina (watoaji msaada wa baiskeli, pik..) ndio waamuzi wa protokali ya hili jambo maana kwao ni heshima kubwa. Hivyo basi Raisi wetu ni kufuata tu upepo mabwana wanasemaje - ukipenda laini (bure) bila kiburi ama uwezo wa kufikiri ndio matokeo yake.
   
 18. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,062
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  wamesaidiwa viatu sasa tukaombe wa kuwasaidia na soksi ....vyoo mashuleni havina madirisha tuombe wafadhili pia,unawaomba waume wenza wasaidie kununua mboga kwako,mwisho watakushikisha ukuta
   
 19. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Shame!!
  The great shame for the president of a country with population of about 40 millions of ppl to go for that donation.
  No wonder The Presidency Office in Tanzania has fallen to ashes. Lacks think tanks, if they are there then are too coward.

  150 pairs of shoes to public servants who are paid salaries monthly; another shame. How much does cost if we order from Italy shoes or Bata?

  Nyani Ngabu what will be your reaction when I come to your house a give you two pairs of shoes as a donation (because you are not able to buy though are paid monthly and daily you exploit bribes) and not a gift?
   
 20. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,076
  Likes Received: 15,730
  Trophy Points: 280

  inachekesha :happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy::happy:
   
Loading...