usimlilie mtu ama chama, lilia nchi yako na watanzinia wenzako, wanasiasa wote hawana dini wala loyality, they only have interest. Cdm will sell lwakatare to the highest bidder, and make some sort of a deal, n ccm will be happy with that, na baadaye business as ussual. So dont shed any tear my dear, au this is crocodiles tears
pole Josephine03 hadi unalia!!
aaaah pole josephine03!!usijali one day itakuwa yes!!!Wanawake tumeumbwa na machozi ya huruma, inauma sana ukiona ukombozi unakandamizwa na wenye mabavu
Mkuu Ng'wanamapalala, hili sio swali lililohitaji gwiji wa sheria kulijibu, ni swali linalopaswa kujulika`na na kila Mtanzania mwenye miaka zaidi ya 14!, yaani ilitakiwa kufundishwa kwenye somo la civics darasa la saba kwa sababu linahusu haki za raia ambazo kila anayefikisha legal age ya kushitakiwa anapaswa kulijua. Legal age ya mwisho ya mtoto kwa Tanzania ni miaka 14 (minor), age of majority ni miaka 18, umri wa mtu mzima unaanzia miaka 21.Kwa wale magwiji wa sheria za Tanzania, Naomba nisaidiwe,
Kwa sheria ya Tanzania, how many maximum days suspect anatakiwa kuwa mahabusu kabla ya kuwa charged or released.
imani yako yaweza kuwa ya kweli maana watu wote tunajua polisi wanapeleka mashitaka na ushahidi mahakamani na baada ya hapo inaachiwa mahakama.Naamini kabisa polisi wana maelekezo juu nini wanatakiwa kufanya kwa hayo mambo wanayojidai kuyafanyia uchunguzi kwa sasa. Wanachojaribu kufanya sasa ni kuweka mazingira ya kuaminisha umma kuwa kitakachotolewa ama kuelezwa ni matokeo ya uchunguzi wao.