Polisi wanatumia Magari haya kweli au kuna watu tu wana-take advantage

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
3,706
2,000
Kawaida tulizoea kuona gari za polisi miaka ya nyuma zilikuwa ni 110 defender, zikaja land cruiser mkonga, na kabla ya hapo kama sikosei zilikuwa VW maarufu kwa jina la bito zilikuwa ni hutchback kama sikosei.

Miaka ya karibuni Land Cruiser Mkonga na kiasi Land Rover 110 Defender ndo zimekuwa gari za mapolisi. Wale wenye vyeo wanatumia V8 aka Kilimo kwanza.

Lakini nmeshangaa kuona Toyota Kluger ina namba za polisi . YAANI PT njano na nyeusi. Je wameanza kutumia na hizi gari au ni muda huwa wanatumia? Baadhi ya inchi Jeshi la Polisi huwa linakuwa na sera za matumizi ya gari.

Kwa kuangalia uimara na kasi au speed ya gari husika. Je kwa sisi hii haihusu? Maana pia nmewahi ona SUZUKI VITARA ina namba za Polisi. Na siku moja nliona Toyota Spacio inatumika kumuingiza Aliyesemekana kuwa ni jambazi baada ya maaskari kanzu kumfuatilia.

Je nini hutumika kuamua magari ya Rais, Mawaziri na Wanajeshi/Askari. Yawe ya Doria au Wakubwa kwenye mizunguko yao ya kikazi.
 
Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
4,524
2,000
Huku zinatumika coastel na hiace kukamata wasiovaa helmet..wenyewe ndio watakuwa na majibu sahihi, ila inaboa zaidi pale wanapotumia magari ya kukodi kama zile hiace za mitandao pendwa kukamatia boda boda
 
drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
2,016
2,000
uliambiwa kuna gari za polisi maalumu ndio watumie nazingine wasitumie au mawazo yako tu umetoka boardingschool lini naona wewe mgeni

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
1,033
2,000
Kawaida tulizoea kuona gari za polisi miaka ya nyuma zilikuwa ni 110 defender, zikaja land cruiser mkonga, na kabla ya hapo kama sikosei zilikuwa VW maarufu kwa jina la bito zilikuwa ni hutchback kama sikosei.

Miaka ya karibuni Land Cruiser Mkonga na kiasi Land Rover 110 Defender ndo zimekuwa gari za mapolisi. Wale wenye vyeo wanatumia V8 aka Kilimo kwanza.

Lakini nmeshangaa kuona Toyota Kluger ina namba za polisi . YAANI PT njano na nyeusi. Je wameanza kutumia na hizi gari au ni muda huwa wanatumia? Baadhi ya inchi Jeshi la Polisi huwa linakuwa na sera za matumizi ya gari.

Kwa kuangalia uimara na kasi au speed ya gari husika. Je kwa sisi hii haihusu? Maana pia nmewahi ona SUZUKI VITARA ina namba za Polisi. Na siku moja nliona Toyota Spacio inatumika kumuingiza Aliyesemekana kuwa ni jambazi baada ya maaskari kanzu kumfuatilia.

Je nini hutumika kuamua magari ya Rais, Mawaziri na Wanajeshi/Askari. Yawe ya Doria au Wakubwa kwenye mizunguko yao ya kikazi.
Fata mambo yako ya polisi waachie wenyewe, unataka kuwanunulia mengine?, keep your mouth shut and go to work nigger
 
wildfish

JF-Expert Member
May 28, 2014
914
500
Wanaweza kutumia aina yoyote ya chombo kwaajili ya kufanikisha kazi zao hakuna kosa hapo,iposiku unaweza ukakutana na trekta lina usajili wa PT, walausijisikie vibaya polisi ni tasisi pana inavikorombwezo vingi sana.
 
kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,591
2,000
Nimegundua humu kuna watu hawajui lolote kuhusu maswala ya nchi,kuna watu humu vuchwa maji kabisa,we sijui unaejiita mwalimu,umesahau kila kitu kilicho serikalini kimepatikana kwa kodi zetu,yako pia ikieweko,polisi wakitumia gari mbaya tunahaki ya kuhoji na wakitumia nzuri tunahaki vilevile,maana ni kodi zetu,sasa nashangaa unasema MTU asihoji
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom