Polisi wanapothibitisha kuwa ni genge la wahuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wanapothibitisha kuwa ni genge la wahuni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GAGL, Mar 25, 2011.

 1. G

  GAGL Senior Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Polisi Dar wameendelea na tabia yao ya kuzuia maandamano kwa kisingizio cha kuzuia foleni. Huu ni uhuni na propaganda kubwa inayolenga kuzuia maandamano yenye tija siku za usoni. Huwezi kumpangia mtu afanye mkutano badala ya maandamano anayoomba. This is unconstitutional, maandamano ya amani ni haki ya kikatiba. Trafic congestion should not override human basic right. Hivi mhe. Kova hujui hata kuwa hata askari wako wanakung'utwa na hali ngumu ya maisha?
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni maandamano gani waliyozuia mkuu mpaka ukafikia kuweka thread hii?
   
 3. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Maandamano ya kupinga marekani kumshambulia gadafi.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ...Na maandamano ya vijana wa ccm kuunga mkono hotuba ya JK.
   
 5. MSAGA SUMU

  MSAGA SUMU JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2015
  Joined: May 25, 2015
  Messages: 2,395
  Likes Received: 6,502
  Trophy Points: 280
  Kumbe wameanza zamani
   
 6. R

  Rabuor JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2015
  Joined: Jun 26, 2014
  Messages: 790
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kova ndiye ana wivu na ukawa !
   
 7. m

  m4cjb JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2015
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 6,832
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Namshauri huyo Kova akale malimao au ndimu
   
 8. E

  Eddyka Member

  #8
  Aug 26, 2015
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ndg mabosi ndo wenye uamuzi wa mwisho ni kutii amri
   
Loading...