Elections 2010 Polisi wanaovamia vituo vya kuhesabia kura wamebeba kura za kuchakachua

Rumishaeli

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
227
72
Jamani hawa jamaa wanaoitwa polisi wamepewa kura za kuchakachua matokeo wanapovamia kituo ambacho hakijatangaza matokeo yake wanakuja na kura nyingine ambazo ni feki then baada ya muda wa purukushani kuisha wanasema kura zihesabiwe upya kumbe tayari washaleta kura mpya. :israel:
 
Kuna harufu kali ya kuchakachua taarifa hii au yenyewe ni ya kuchakachua au imechakachuliwa mahali.......whatever...............................SOURCE PLEASE OTHERWISE IT IS RUBBISH....................
 
Usiulize chanzo fanyia kazi ni muhimu wengine huku ni watu tupo kwenye systm ambao tunataka mgeuzi:A S angry:
 
Kwenye majimbo hawahesabu karatasi za kura,wanafanya majumisho ya kura kutoka vituoni ambapo wanatumia fumu za majibu zilizosiniwa na mawakala wote pamoja na wasimamizi wa vituo.Sanduku la kura likishafungwa kituoni na kuwekwa muhuri,haliwezi kufunguliwa isipokuwa kwa amri ya mahakama.Kwa sasa hivi kama ni uchakachuaji haupo kwenye makaratasi bali kwenye takwimu za wapiga kura na kwa sehemu ambapo mawakala hawapo makini wanascan fomu feki kwenye komputa.
 
Kilichofanyika anatoglo ndiyo mpango mzima wa uchakachuaji ulivyotumika... electronic evidence ni muhimu sana ... CHADEMA tujiandae kupambana nao ndani na nje ya mahakama...
 
Back
Top Bottom