Polisi, wananchi wapambana kwa risasi, mabomu na mawe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi, wananchi wapambana kwa risasi, mabomu na mawe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fangfangjt, Mar 22, 2011.

 1. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  MJI wa Maswa jana uligeuka uwanja wa mapambano baina ya wananchi na polisi, huku risasi, mabomu ya machozi na mawe vikitumika kama silaha baina ya pande hizo.

  Polisi walitumia risasi na mabomu ya machozi kuwadhibiti wananchi waliokuwa wameamua kujichukulia sheria mkononi kumwadhibu mkazi mmoja wa mjini hapa Masanja Juma (28), aliyetuhumiwa kwa wizi wa kuvunja maduka  SOURCE : NIPASHE
   
 2. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kazi nzito: acheni wasafishe majambazi
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sipendi wananchi wajichukulie sheria mikononi ila hao majambazi wanakera. Ningekuwa Polisi ningechuna, kama vile sio mimi vile. kumbuka walichowafanya polisi wetu pale shinyanga majuzi. inaniuma sana nikifikiria.
   
Loading...