Polisi wanalipwa kiasi gani cha mshahara? Naomba mnijuze

Salary scale ya wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa na ile ya mambo ya ndani ya nchi ni tofauti kwa wizara ya mambo ya ndani ambayo ina Zimamoto,magereza,police na uhamiaji wanafanana kila kiti tofauti ni cheo au seniority ndo inafanya mishahara itofautiane
 
Ahsante mkuu kwa maelezo haya, sasa nimenza kupata mwanga, kama unaijua iweke hapa kabisa hiyo salary scale
 
Salary Scale is as follows...
1.Police Tsh 435,000(Private)
2.JWTZ Tsh 635,000 (Private)
a. Commandos Tsh 1,237,000
b. Generals Tsh 4,333,000 Up to Tsh 5,426,000 and or more depending on the rank.
Ahsante mkuu.

Fafanua pia kuhusu hiyo private umemanisha nini.
 
Salary scale ya wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa na ile ya mambo ya ndani ya nchi ni tofauti kwa wizara ya mambo ya ndani ambayo ina Zimamoto,magereza,police na uhamiaji wanafanana kila kiti tofauti ni cheo au seniority ndo inafanya mishahara itofautiane
yani tulitaka kuja tuu japo kianzio chao or category's zao hasa hawa jamaa zetu wa roads maana ukikutana nao wanavyo kung'ang'ania utadhani salary's zao zinachezea M vile. huwa wanakera saana kama vile wao cyo binadamu.
 
Salary Scale is as follows...
1.Police Tsh 435,000(Private)
2.JWTZ Tsh 635,000 (Private)
a. Commandos Tsh 1,237,000
b. Generals Tsh 4,333,000 Up to Tsh 5,426,000 and or more depending on the rank.
kumbe hii mi nurse ya roads na mishahara yao ya certficate afu wanajidai kunyanyasa watu kaa vile wao mungu aiseee......
 
yani tulitaka kuja tuu japo kianzio chao or category's zao hasa hawa jamaa zetu wa roads maana ukikutana nao wanavyo kung'ang'ania utadhani salary's zao zinachezea M vile. huwa wanakera saana kama vile wao cyo binadamu.
Salary zao ni ndogo sana ukilinganisha na kazi zao.
Sisi ndiyo tunaokuwa marupurupu yao. Ila inauma sana wanavyotung'ang'ania aisee.

Sector ya Ulinzi ina hali mbaya pia katika nchi yetu. Wanaofaidi ni wenye vyeo tu na ndiyo maana raia tumekuwa dili kwao. Kosa kidogo tu lazima utolewe upepo.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom