Ahsante mkuu kwa maelezo haya, sasa nimenza kupata mwanga, kama unaijua iweke hapa kabisa hiyo salary scaleSalary scale ya wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa na ile ya mambo ya ndani ya nchi ni tofauti kwa wizara ya mambo ya ndani ambayo ina Zimamoto,magereza,police na uhamiaji wanafanana kila kiti tofauti ni cheo au seniority ndo inafanya mishahara itofautiane
Nurse tenaAsante saana mkuu na mm nilitamani saana kujua juu ya hili haswa hawa nurse wa barabarani.....
Ahsante mkuu.Salary Scale is as follows...
1.Police Tsh 435,000(Private)
2.JWTZ Tsh 635,000 (Private)
a. Commandos Tsh 1,237,000
b. Generals Tsh 4,333,000 Up to Tsh 5,426,000 and or more depending on the rank.
yani tulitaka kuja tuu japo kianzio chao or category's zao hasa hawa jamaa zetu wa roads maana ukikutana nao wanavyo kung'ang'ania utadhani salary's zao zinachezea M vile. huwa wanakera saana kama vile wao cyo binadamu.Salary scale ya wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa na ile ya mambo ya ndani ya nchi ni tofauti kwa wizara ya mambo ya ndani ambayo ina Zimamoto,magereza,police na uhamiaji wanafanana kila kiti tofauti ni cheo au seniority ndo inafanya mishahara itofautiane
kumbe hii mi nurse ya roads na mishahara yao ya certficate afu wanajidai kunyanyasa watu kaa vile wao mungu aiseee......Salary Scale is as follows...
1.Police Tsh 435,000(Private)
2.JWTZ Tsh 635,000 (Private)
a. Commandos Tsh 1,237,000
b. Generals Tsh 4,333,000 Up to Tsh 5,426,000 and or more depending on the rank.
Salary zao ni ndogo sana ukilinganisha na kazi zao.yani tulitaka kuja tuu japo kianzio chao or category's zao hasa hawa jamaa zetu wa roads maana ukikutana nao wanavyo kung'ang'ania utadhani salary's zao zinachezea M vile. huwa wanakera saana kama vile wao cyo binadamu.