Polisi wanakunywa chibuku huku wakiwa na mavazi yao kikazi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
Polisi wa wapi hao.jpg

Police discipline drinking officer

In a last gasp to clear its image, the Malawi Police Service (MPS) has moved swiftly and identified three officers seen in a photograph drinking Chibuku while in uniform.

A picture circulating on social media platforms, including WhatsApp and Facebook, shows three police officers in uniform and a civilian woman wearing a police cap.

National Police Public Relations Officer Nicholas Gondwa said in an interview that the three have already been identified and that the other three officers whose caps appear in the picture are yet to be identified.

He said the three are officers from Central Region Police and that they will be quizzed to identify colleagues for disciplinary action.

“Drinking on duty and whilst in uniform is a disciplinary offence. Police has a code of ethics and the officers involved have breached our disciplinary code. Management of police and even the public cannot smile at such misconduct.

“At the moment, we have already commenced disciplinary action against the three,” Gondwa said.

Polisi wa nchi gani hawa jamani? Malawi Polisi wanakunywa Pombe ya chibuku huku wakiwa na Mavazi yao ya Kikazi Kazi kweli ipo hapo.
 
Hiyo Chibuku ndiyo hii inayotoka huku kwetu Tanzania? Na je ni sahihi kwa askari kuvaa kofia ya kipolisi huku mavazi yakiwa ni ya kiraia kama alivyovaa huyo mwanadada? Na kushoto kama sikosei ni kofia ya kiaskari imetupwa chini. Isijekuwa hao ni wana maigizo kama Ze Orijino Komedi.
 
Nini chibuku, huko kakola kahama mgodini, nikiwa bar akaja polisi akakaa nami halafu akaliweka libunduki lake mezani.... nilikuwa nakunywa silewi... halafu anaongea sana..
 
Hii mbona ipo sana jamani hata hapa kwetu. Kuna sehemu nlienda mwezi uliopita nkaa kama wiki mbili, mkuu wa kituo ( OCS ) analewa asubh hadi asbh. Half mtaani kila mtu rafiki yake. Akikamatwa mtu akifka kituon anaomba aongee na OCS, anawambia mwachieni huyo namjua atakuja kuripot kesho hakuna haja ya kumlaza selo.
 
......unaposikia polisi jamiii, ndo hiyo!!!!!
 
View attachment 341506
Police discipline drinking officer

In a last gasp to clear its image the malawi police service ( MPS ) has moved swiftly and identified three officers seen in a photograph drinking chibuku while in uniform

Polisi wa nchi gani hawa jamani? Malawi Polisi wanakunywa Pombe ya chibuku huku wakiwa na Mavazi yao ya Kikazi Kazi kweli ipo hapo.
Hayatuhusu.
 
Askari gani hapo unamuona anakunywa Chibuku?!

Inamaana siku na wewe ukipiga picha karibu na chupa za bia tuseme Mzizi Mkavu anakunywa bia
 
Ha ha haaa, huyo kamvika dem kofia, duuu; pombe siyo chai.
Nina imani hao ni waigizaji tu. Mbona kofia ni nyingi Zaidi ya idadi ya maaskari Na nyingine imetupwa chini? Huwezi kuvaa nguo za RAIA halafu uvae kofia ya jeshi LA polisi huu ni mzaha tu.
 
Hata mimi mwanzoni nilidhani ni watu tu wameigiza. Lakini kumbe ni kweli ilitokea huko nchini Malawi hivi karibuni. Soma habari yenyewe hapa chini ambayo nimeikuta mahali:

In a last gasp to clear its image, the Malawi Police Service (MPS) has moved swiftly and identified three officers seen in a photograph drinking Chibuku while in uniform.

A picture circulating on social media platforms, including WhatsApp and Facebook, shows three police officers in uniform and a civilian woman wearing a police cap.

National Police Public Relations Officer Nicholas Gondwa said in an interview that the three have already been identified and that the other three officers whose caps appear in the picture are yet to be identified.

He said the three are officers from Central Region Police and that they will be quizzed to identify colleagues for disciplinary action.

“Drinking on duty and whilst in uniform is a disciplinary offence. Police has a code of ethics and the officers involved have breached our disciplinary code. Management of police and even the public cannot smile at such misconduct.

“At the moment, we have already commenced disciplinary action against the three,” Gondwa said.
 
Kweli polisi ni kioo cha jamii, angelewa mtu wa kada nyingine ingekuwa safi lakini kwa vile kalewa kaka Polisi ni mwano.

Ila nakumbuka nikiwa mtoto nilishangaa saana kumuona Polisi anakojoa hadharani niliwaita hadi wenzangu waone lile tukio ilhali angekuwa Mhasibu nisingejisumbua kushangaa. Sijui kuna mechanism gani hapa?
 
Polisi anatakiwa awe mfano mzuri kwa Raia wake Polisi hatakiwi awe mfano mbaya kwa Raia wake.
 
nyaka one jifunze english utafaidi sana.
Mkuu kwa nini umenishauri nijifunze kiingereza? Je una hakika kama kiingereza kwangu ni tatizo? Kama sababu ni vile nilivyoandika "Ze Orijino Komedi" katika post yangu ya kwanza sijakosea kwani wenyewe wanajiita hivyo hivyo kama nilivyoandika na si "The Original Comedy".

Pia mleta mada mwenyewe mwanzoni alikuwa hakuweka story kamili (rejea attachment iliyo kwenye post #8) na amekuja kuongezea maelezo kamili baada ya mimi kuwa nimeona habari yenyewe iliyokamilika kwenye vyanzo vingine na kuweka post mpya namba 13.
 
civilian woman wearing police cap. inamaanisha raia wa kike amevaa kofia ya polisi. yule mwanamke sio polisi mkuu
 
View attachment 341506
Police discipline drinking officer

In a last gasp to clear its image, the Malawi Police Service (MPS) has moved swiftly and identified three officers seen in a photograph drinking Chibuku while in uniform.

A picture circulating on social media platforms, including WhatsApp and Facebook, shows three police officers in uniform and a civilian woman wearing a police cap.

National Police Public Relations Officer Nicholas Gondwa said in an interview that the three have already been identified and that the other three officers whose caps appear in the picture are yet to be identified.

He said the three are officers from Central Region Police and that they will be quizzed to identify colleagues for disciplinary action.

“Drinking on duty and whilst in uniform is a disciplinary offence. Police has a code of ethics and the officers involved have breached our disciplinary code. Management of police and even the public cannot smile at such misconduct.

“At the moment, we have already commenced disciplinary action against the three,” Gondwa said.

Polisi wa nchi gani hawa jamani? Malawi Polisi wanakunywa Pombe ya chibuku huku wakiwa na Mavazi yao ya Kikazi Kazi kweli ipo hapo.
Kunywa sio shida wala tatizo ilimradi usifyatue risasi hovyohovyo!
 
Back
Top Bottom