Polisi, wanajeshi, manesi na waalimu wengi wa s/m wanatumia majina yasiyo yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi, wanajeshi, manesi na waalimu wengi wa s/m wanatumia majina yasiyo yao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M-pesa, Nov 23, 2011.

 1. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kama huamini fanya research na utagundua hilo. Wengi wanatumia vyeti visivyo vyao, hasa vyeti vya secondary.
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo unataka nini kwani hawatoi huduma hao wenye vyeti vyenye majina halali wamefanya lipi jipya
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hilo mbona linajulikana! Na wengi wao ndo wanapiga kazi na hao hao pia wanaoturudisha nyuma kwa kuogopa kutibuliwa inshu za vyeti zao.
   
 4. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kama nimekugusa pole, ndio maana mnakataa vitambulisho vya taifa?
  Nimesahau na masekretari
   
 5. V

  Vitalino mlelwa Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmeenda mbali tuanze kukagua bungeni kwanza ndio mfike huko na krikri batri low!!!
   
 6. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama wabunge wanaweza kuwa kwenye scandal kubwa namna hii
   
 7. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  mimi nimejiajiri mkuu , ila nawaheshimu sana hao uliowa taja!
   
Loading...