Polisi wana haki ya kuzuia maandamano au la?

YanguHaki

Senior Member
Oct 11, 2010
129
9
Wana JF nafahamu kuwa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania polisi hawawezi kuzuia maandamano ya amani na kuwa jukumu lao ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Na pia kuna kesi ya Mahakama Kuu iliyotolea ufafanuzi hili suala. Wana JF wenzangu anayejua hii kesi anifahamishe kwa kina-kesi namba ngapi na ya mwaka gani na ilifunguliwa na nani?
 
Back
Top Bottom