Polisi wamwagwa uwanja wa SOWETO hakuna mtu yeyote kukatiza!

Napata raha sana kuona vigoli wanapolalama. Eti hawa ndio wale wakombozi uchwara!!!!! Chezea CCM wewe!!!!!
 
Intelejensia imeonyesha kuwa sayari ya Mars itaangua eneo ilo wakati wa kuaga maiti, chukua taadhali mapema
 
Cowards wote huzungumza kama wewe! Rudi kwa mama yako umuulize kuhusu ukweli kywa baba yako ni nani? Unaongea kama mtu aliyelelewa na baba wa kubambikiwa

Kaka matusi ni dhana iliyopitwa na wakati ,2013 si sawa na 1961 km huna hoja ni bora ukapotezea kuliko kutukana mtu asiyekutukana
 
That is exactly the right thing to be done. Huu upuuzi wa watu kurusha wenyewe mabomu na kisha kutumia misiba kama njia ya kujipatia umaarufu tumeshauchoka. Watu washaamua ku deal na nyinyi jino kwa jino. Na kwa vile meno yenu ni dhaifu na machache, ni muda mfupi tu mtakuwa VIBOGOYO. Hamfiki2015 na mkifika mtakuwa dhsifu saaaaaana

unatumia makamasi kufikiri si bure ww
 
Kwani huu msiba ni wa CHADEMA ama wananchi wote. Inasikitisha sasa kuona kuwa kama msiba ukiratibiwa na CCM inamaana wahusika na msiba huo ni wana CCM tu. Siamini kama Tanzania tumeshafika hapa, kwanini nguvu kubwa hii wasitumie kuwalinda ili madhara yanayotokea yakome?

Mmetuma polisi waje warushe bomu kwenye mkutano wetu, mmeua wananchama wetu, Ulitaka NANI ashiriki kuandaa mazishi ya wananchama wetu??? kwenda zako na Ulaaniwe.
 
Serikali ya Kipuuzi, Matamko ya Kipuuzi na kila kitu chao cha kipuuzi......waulize kwanini sasa wanawazuia watu kwenda hapo. Utaambiwa eti Intelijensia yao imeonyesha kuwa kutakua na Machafuko....... upuuzi mtupu, watu wamekusanyika tangu juzi, mbona hatujaskia chochote wala lolote? I hate CCM and its puppets

CC: zumbemkuu Mohamedi Mtoi MANI
Kama hutapata haki yako kutoka kwa mods basi nitaamini kuwa kuna upendeleo humu jf
 
Mungu ibariki Tanzania.
kusotokee majamga mengine.
Itatufedhesha sana.Kwani kuaga miili ya marehemu kuna kiss gani?

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
utaishia na majungu yako tu, haki ya nini sasa? nimesema kipi kibaya hapo? Kusema upuuzi? go to hell bhana, tena niache tafadhali Mpwa, tujadili mambo mengine tafadhali, amini unachoamini. Thanks kwa kunielewa
Kama hutapata haki yako kutoka kwa mods basi nitaamini kuwa kuna upendeleo humu jf
 
Kuna mtu niliwahi kufanya nae kazi alikuwa mtu wa ajabu. Hisia zake zilikuwa zinakuja baada ya saa 24! Mfano mnaongea, mtu anatoa kisa cha kufurahisha na kuchekesha, watu mnacheka mnafurahi. Ila jamaa yetu anabaki kimya. Kesho yake utaona anaanza kucheka na kurukaruka halafu atauliza "fulani kumbe kumbe ndio maana jana mlicheka sana." Yaani wakati watu walicheka jana yeye leo ndio anacheka wakati watu tayari wamesahau na kuanza mambo mengine.

Sasa Polisi badala ya kutoa ulinzi kabla na wakati watukio wanatoa ulinzi wa kiwanja siku tatu baada ya tukio. Kweli haya ni maajabu ya karne.

Mkuu nimesoma na jamaa anaitwa Daniel Susuma ni 100% copyright na huyo alitushangaza sana jamani. Yaani wote mshasahau yeye ndo anakuja kucheka masaa kadhaa.
 
Hii tabia ya kufanya kazi kama roboti ndio nini sass? ukipewa amri zuia watu wasiingie uliza sababu ili na ww ukiulizwa unakuwa na jibu ukizuia bila kutoa sababu ndio unazua maswali kwa unaowazuia Tanzania ni zaidi ya CDM na CCM
 
Waacheni wazuie mkiwakataza wanaweza rusha tena wakasema wafuasi wa CDM walituzuia kuwalinda
 
hiyo ni strategy ya magamba,wanaamini wakiruhusu watu watakuwa wengi mno nahivyo kuleta picha kuwa iwapo uchaguzi ungefanyika cdm wangeshinda.
. Au pia inawezekana kutokana na uchunguzi juu ya tukio la bomu kuendelea, si salama sana kwa watu kukusanyika kwa wingi. So labda ni kwa usalama wenu pia. Kwanini kila kitu kinatafsiriwa kuwa ni against Chadema tu? Sisi tumekuwa ndugu miaka yote, vyama vimekuja na kutukuta na udugu wetu. Kutofautiana mawazo si sababu ya kuutupa udugu wetu. Tufanyeni siasa tusi achie siasa ikatufanya sisi!
 
Cowards wote huzungumza kama wewe! Rudi kwa mama yako umuulize kuhusu ukweli kywa baba yako ni nani? Unaongea kama mtu aliyelelewa na baba wa kubambikiwa

Kauli zako hazina tofauti na wale wa mipasho wakitambiana kuchukuliana mabwana
 
Back
Top Bottom